Sitaisahau Tabora

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,197
2,052
Yeeraa inakua aje asee ma'raia wa humu ndichi.?Natumai mko full ile kibingwa...Anyways back 2 e' point..Mwezi huu wa 7(July)baada ya kufunga chuo nilipotimba home Dingilii akaniagiza nisololoe Tabora nifukuzie Ngawira/kichere/Moneygram aliziacha kwa Mzee flani hivi Waki'Nyamwezi,nikaona aina ngenje babaako me ntatokea pande zile nikadekeree na mazingira pamoja na Mamilox za kinyamwex naskiaga Tabora kunae izo manzi kwanza zimepaa hewani alaf nyeupe laana..Safari ilikua ndefu kinyama alaf ndani ya bus akuna ile vibe pamekaa ki'whack mbaya,ile nafika tu chaliloo kwanza nakakuta Ka'babu kame'rest apo danta akana kwere na raia oote kanasokota tumbaku kidogo nikaombe kanitembezee namimi coz nilijua ni Gauge Aahgh..!!Pia kulikua na manzi mweupe mrefu ana mwanya alikua anatwanga kisamvu kwenye kinu akanikaribisha daah Wanyamwezi ni wakarimu kichizi yaani,nikapewa kiti mjuba nika'chill nikakapa izo ma hi kale ka'Babu nikakaelezea kuwa dingilii kaniagiza bangaloo zake kakasema kanajua full mkanda so nitulize mtori nyama ziko ndichi danta kabisa..Chaliangu kisanga ni night coz kale kazee kumbe kanakaa na yule mamsi ambae ni binti ake wawili tu yaani mtu bee ndani ya track moko bablae..!Time ya kwenda kulala kuna nyumba mbili moja kubwa kanalala kale kazee alaf ile dogolaa analala uyu mamdii,So kakanambia ntalala nae tu yule manzi coz vyumba viko bee(viwili)Chaliloo nikasema Shee!Asheinaree.!Fisi kaachiwa bucha,,Bas nikiwa nimelala kitandani alone kama Kelvin naskia sauti ya yule mamiloo tokea chumba cha pili"Vipi mgeni Umesinzia??"Doooh!Nini iki asee mbona perepete na ntantalila ni mingi uyu mamaa anakuja kunileta??nikamjibu"Bado"Hakujibu akavunga,zimesololoa kama dakika7 na ushenzi hivi akaniuliza tena"Ushasinzia?"Khaa.!Am lyke wat a fcuk iz this meen?C'moon dude!?"Nikamjibu "Bado mamiloo",,Nikaona uyu asije akaniona me ree akati chalii ya R sio ree aijakaa kidandara dingii,acha nimwoneshe ni nani aliefunika wote kwenye ile ngoma ya watengwa inayoitwa "Full ile laana"Mjuba si Nikamwambia aniletee manjox/manjota(maji)ariff,alipoleta akaniomba ma'contacts nikachukua kitilili'ake nikamwandikia namba nikampa kisha akapita ivi..Dakika kama moko hivi text ikaingia kwenye ng'ora angu"Vp,me Asnath bado uko macho?"Bac pale tukaanza kubofonga via chattin' akasema yupo chuo UDSM but now nayeye yuko Likizo,anapapenda sana Gachuland one day atatimba ila anapahanya sana Unga Limited(Ngalimi)Ngusero,Daraja bee,Matejoo na Ngarenaro(Ngareroo) kutokana na sifa za pande izo ila nikamtoa hofu ilikua ni long but for now watu wana mafekeche halali yaani mbanga za maana kama kawa zile za Upper cut. chembelee fas ya kidevunga zishaisha,mala aniulize Umri,kabila,,,Daah mboyoyo ni shazi asee.!!Mwisho kabisa akaniuliza tena kama nimeshalala?nikamjibu"Siwezi lala time hii coz joto sana uku compare na A Town alaf sijazoea uku fyade"Akaniuliza aje anipe kampani??Hehehe.!!Nilicheka kidogo kisha nikamwambia atokee tu maana ndo kitu ambacho bablide,,Mtoto kaja na Khanga tu daah nilimtafuna usiku kucha kuja kushtuka saa10 usiku nikamwamsha tena nikamchanua viwili vya kibingwa KCK"Kid Can Kill"Nikadondoka nyundo kuja kuamka saa3 Huh..!!alaf manzi hayupo anafagia uwanja nje na ashachemsha tea kitambo tu..Nikapiga tea mzee akanigei jax nikateleza home(Chuga)..Aisee Sitapasahau Tabora sababu ya Asnath manzi la kinyamwexizo 4 shizzo.!!
@ChaliiYaKijengeJuu.
 
Arusha napenda mademu zenu wanavoongea kibabe unaweza fikiri amekuchomolea kumbe yupo on track.
 
Maneno meengiii perepere nyiingii ila Wanyamwezi wamekupiga KO....
Tena ukapigwa butwaa mwenzio aliamka saa mingi na kazi anaendelea kama hakukesha vilee.

Mizigo Mizito ndo jadi yetu, ukikuta mnyamwezi amegaragazwa halafu yuko hooii hata kuamka kashindwa ujue mzigo wako ni mahsusi......

Kwetu Tabora, Matata ni ubini wangu.

K' Matata.
 
Maneno meengiii perepere nyiingii ila Wanyamwezi wamekupiga KO....
Tena ukapigwa butwaa mwenzio aliamka saa mingi na kazi anaendelea kama hakukesha vilee.
Mizigo Mizito ndo jadi yetu, ukikuta mnyamwezi amegaragazwa halafu yuko hooii hata kuamka kashindwa ujue mzigo wako ni mahsusi......
Kwetu Tabora, Matata ni ubini wangu.
K' Matata.
Wee usinambie..!!Unapajua skonge mamiloo??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom