Utafiti kuhusu wanawake

Utafiti kuhusu wanawake

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
1,Umri wa miaka 18 hadi 21,huwa hawapendi ngono,wanapenda mahusiano au mapenzi ambayo ngono huchukua nafasi ndogo sana

2,Umri wa miaka 22 hadi 29,hupenda waolewe,wanapenda waishi kwenye mahusiano ya ndoa,wanapenda kuanzisha familia,ukianzisha mahusiano ya kimapenzi ambayo hayakuwa na malengo ya kuoana,hujaribu kumshawishi mwanaume,mahusiano yawe na malengo ya kuwapeleka kwenye ndoa

3,30-33,ari ya kuolewa hupungua na huongezeka pale anapofika umri wa miaka 34 hadi 35,36 na kuendelea hupungua

4,Wanawake walioachika wanapenda kufanya mapenzi na mtu yoyote bila kujali umri wa mwanaume

5,Wanawake wengi waliozaa kabla ya ndoa wapo kati ya umri wa miaka 22 hadi 25

6,Wanawake waliozaa kabla ya ndoa hawapendi ngono sana tofauti na wale waliozaa kwenye ndoa na kuachika

7,Wanawake walio na umri wa miaka 25 na 30 wanapenda kutembea na wanaume wa watu ili watimiziwe mahitaji

8,Wanawake walioolewa wanachepuka na wanaume wa watu

9,Wanawake kwa makusudi hutegesha apate ujauzito na mwanaume fulani ili aolewe naye hata kama walikuwa hawana malengo hayo

10,mwanamke hutaka kuzaa na mchepuko wake aliyempenda na yupo vizuri kiuchumi hata kama yupo kwenye ndoa

11,Wanawake waliopo kwenye ndoa huwa waaminifu kwenye ndoa,ila wengi hutegemea mwanaume alivyo mwaminifu kwanza

12,Wanawake waliozaa kabla ya ndoa,watoto wao wa kwanza waliwazaa na mwanaume ambaye hakuwa na malengo naye

13,Wanawake walio na umri wa miaka 29 hadi 38 hupenda waolewe na wanaume walio single father,(wanaume waliowahi kuoa ila ndoa ikavunjika au mwenza akafariki)

14,Wanawake walio na umri 18 hadi 24 hawapendi waolewe na wanaume single father

15 Wanawake walio na umri wa miaka 24 hadi 28 wako tayari kuolewa uke wenza,29 hadi 38 hawakubali kuolewa uke wenza

Je unakubaliana na huo utafiti? Binafsi kuna vitu sijakubaliana navyo ila vingine ni vya ukweli kama namba 11
 
Weka chanzo mkuu,maana umenichanganya sana uliposema"kuna sehemu ambazo hata wewe hukubaliani nazo".Sasa yanini kizileta humu.
 
No 1 umeongopa,,

Huo ndo umri WaToTo wakike wanapenda kujua utamu wa kubadili Kila aina ya kiume.

Ndio umri hatari zaidi kwa magonjwa,,mimba kuharibika na wasichana wengi kupoteza malengo na taswira halisi ya maisha.

Chunguza na utakuja kuniambia!!!
 
Mwenye kuupinga kwa nguvu nyingi basi kuna point zaidi ya moja imemgusa yaani utafiti huu umefichulia negative thinking zake na akidhani hajulikani

Na mwenye kuupinga mwingine ni yule amba anahisi huyo mtu wake hana/hawezi kuwa na sifa hizo.

Wapo wenye kuukubali bila ya kuwa na sababu tu, au kwa kuwa hayajawakuta
 
Hiyo 11 hiyo ina uchepechepe na ugirigiri.
Kuna mmoja hapa mtaani anachepuka hatari kisa anasema hana hisia na Mumewe.
Dah! Sa kama huna hisia nae umekubali vipi kuolewa nae, kisa cha kuja kumtesa jamaa wa watu ni nini hasa.
 
Naomba kuchangia mada

16. Wanawake wote "WANAPENDA HELA"
 
hawa viumbe hawana formula maalumu ,na hawapangiwi nini wafanye na k zao
 
Wanawake tutawachunguza sana mpaka dunia inaisha ila hatutawamaliza kuwadukua
 
Sasa hii taarifa ina msaada gani kwa mtanzania wa kawaida anaye hustle pale Kariakoo?

Back
Top Bottom