Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Waungwana ni mbinu gani nitumie ili na Mimi niwe gentleman kwa wanawake na bado nikiendelea na ubahili wangu kama kawaida?
🤣🤣🤣🤣Waungwana ni mbinu gani nitumie ili na Mimi niwe gentleman kwa wanawake na bado nikiendelea na ubahili wangu kama kawaida?
Acha na kazi ya kuuza simu za wiziWaungwana ni mbinu gani nitumie ili na Mimi niwe gentleman kwa wanawake na bado nikiendelea na ubahili wangu kama kawaida?
Tafuta hela,uzipate.halafu ujifanye fala
Acha na kazi ya kuuza simu za wizi
🤣🤣🤣🤣Acha na kazi ya kuuza simu za wizi
Mtumie hela ndefu alafu cancel transaction baada ya muda mfupi. Thank me later.
"Mhudumu niongezee kvant nyingine na tonic."
Waungwana ni mbinu gani nitumie ili na Mimi niwe gentleman kwa wanawake na bado nikiendelea na ubahili wangu kama kawaida?
Aisee!Hao ma gentleman ndio wanatombe..wa kila kukicha
Sawa shangaziHovyooooooooooooooo
Hujapata hela wewe hiviunaujua utajiri wewe hio ndo helaaPesa zipo mkuu,sema ubahili nazingatia