Dada zangu na Kaka zangu nisikilizeni

Dada zangu na Kaka zangu nisikilizeni

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,565
Reaction score
14,324
Naanza na wakina dada

1. Kama bado una rangi ya asili hususani nyeusi usikubali kujichubua, usikubali kabisa maana ipo siku utagundua umeiondoa rangi iliyokufaa sana lakini hutaweza kuwa nayo tena bali utabaki kuwa kituko. Hili washaurini na mabinti zenu.

2. Kama bado ungali bikira usikubali bikira yako itoke kirahisi na ikiwezekana usikubali kabisa itoke kabla ya ndoa, nasema hivi kwa kuwa thamani ya bikira kwa utu na heshima ya mwanamke ni kubwa hivyo usikubali ipotee kirahisi maana bikira ikitolewa hairudi tenaaa.

3. Hii ni kwa mtu yeyote. Usikubali kuacha kazi kirahisi. Hasa kama una ajira yako rasmi usiiche kirahisi. Yaweza kuwa umehudhuria semina za ujasiriamali vya kutosha na umeiva vizuri upo tayari kuwa mjasiriamali na imefikia mda unaona ajira yako ni upuuzi tu. Basi kama ni hivyo nisikilize mimi usiiache hiyo ajira yako kirahisi utakuja juta maana kupata kazi ni kazi zaidi ya kufanya kazi.

4. Kama bado hujawahi kupiga punyeto tafadhari usipige wala kufikiria kujiingiza katika punyeto maana athari zake hasa kisaikolojia ni kubwa. Na kama tayari wewe ni mpigaji wa punyeto tafadhari fikiria mara mbili mbili namna gani utaachana suala hilo.

5. Ipe familia yako nafasi ya upendeleo. Wapo watu wanajali zaidi marafiki na wanatumia muda wao mwingi wakiwa na marafiki aidha katika pombe na starehe zingine. Nasihi tabia hiyo iangaliwe upya maana maisha ni fumbo kubwa na ni familia yako pekee ndio ina asilimia nyingi kuwa na wewe katika hali zite zitakazokukumba kimaisha. Sisemi usiwe na marafiki wala usiwajali bali nasema ipe nafasi ya upendeleo familia yako.

Mwisho. Usikubali kuwa bendera fuata upepo katika maisha maana hilo litakuyumbishs mno na athari zake ni kubwa. Jitahidi uwe mtu mwenye kuheshimu fikra na mitazamo yako kwanza kabla ya lolote lile. Jipe nafasi ya kwanza wewe mwenyewe.
 
Hiyo namba mbili utekelezaji wake ndo shida, si kwa dunia hii
 
Umeongea vema boss....!!
 
Toka nimeanza Kula papuchi sijawahi Kutana Na bikira
 
👍
 
Number 3,skuizi inatrend. Watu wanaacha kazi sana saabu ya N.M. Ila baadae majuto tele mambo yakisimama.
Sante kwa Advise.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom