thatone
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 365
- 196
Habari wana jf....
Hivi kwanini mahusiano mengi huwa hayatimizi malengo yake? mfano unakuta watu wamekaa katika uchumba zaidi ya 6,7,8,10+ lakini hawaoani ...Unakuta me/ke anakuja kuolewa na mtu tofauti kabisa ambaye wamekaa kwenye uchumba miezi kadhaa au mwezi kabisa lakini ndoa inafungwa..Au me/ke anakuwa na wachumba zaidi ya mmoja lakin haoi/ haolewi na yeyote kati yao [emoji848]
Mi nahisi wengi wanaoa / kuolewa kwa sababu ya external factors na ndo maana ndoa nyingi siku hizi hazidumu. Mwngne anaoa/ kuolewa kwa sababu fulani kafanya vile... Mwngne kwa sababu ya jamii itamchukuliaje wenzake wanaoa/ kuolewa yeye yupo tu... nahisi hii ndo inachangia sana watu kutotimiza malengo yao..kwa sababu ya kuharakia maisha [emoji817]