Kwanini mnawaita wapemba ni kizazi cha laana

HB.com

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
607
638
Tafadhali kwa anae fahamu undani wa hili suala atoe Majibu

Uzi tayari
 
Hii kuchukua an entire jamii ya watu na kuwadharau namna hii si sawa!

Wamewafanyia nini?

Kun mmoja alikuja humu analia eti kanyimwa asioe mtoto wa Kipemba!

Wamekunyima,wewe unataka nini hasa?

Funga domo,kaoe kwenu!

Haya maneno ya kudharau jamii fulani kana kwamba jamii yako wewe ni ya rank ya juu ni upumbavu kupita maelezo!

Kila mtu ana jamii yake,na zote zina mapungufu na mazuri yake,funga domo fata jamii yako acha za wenzako!
 
Back
Top Bottom