Hii Isomwe na Wanawake Wote Mnaotafuta Wachumba

Hii Isomwe na Wanawake Wote Mnaotafuta Wachumba

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
766
Reaction score
1,535
Habari wana Jamvi, Asalam Aleykum, Bwana ni mwema, Tumsifu yesu kristu

Napenda kuleta kwenu uzi huu ili mnaotafuta wachumba humu na wachumba mbaotafutwa mlifahamu mapema hili.

IKO HIVI [emoji3591] UZURI WA MWANAMKE UTACHANGIA KWA KIASI KIKUBWA KUOLEWA ILA TABIA YAKE NDO ITAYOAMUA NI MUDA GANI ATADUMU KWENYE NDOA.

Karibuni kwa maoni na ushauri kwa wale wanaotafuta wachumba!
Regards
 
Back
Top Bottom