Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,856
- 2,953
Habari wanaJf.
Binafsi naishi Dsm japo si mzaliwa wa Dsm ila ni katika utafutaji na muda mwingi nimekuwa Dsm ..
Ila kwa bahati mtandao wa Jf umenisaidia sana kupata maarifa mengi zaidi ya niliyokuwa nayo hapo nyuma.
Ila katika kuwaza na kuwazua japo kazi zangu nazifanyia DSM nikaoana si vibaya nitembelee mikoa tofauti ili kuona fursa zilizo katika mikoa mingine.
Nilianzia Dom, Singida,Tabora, kahama, shinyanga, mwanza nikaenda Arusha baada ya kutoka Arusha nikarudi tena Tabora ila kwa mara hii nikaenda sehemu moja wilaya ya Nzega..Sehemu hii ilinivutia sana kwa mambo mengi..kuanzia mzunguko wa biashara wa eneo hilo uwingi wa watu na pia niliona kuwa ni sehemu yenye fursa nyingi..
Ila muda wote ambazo nimekuwa Dsm nimekuwa nikiwaza hivi inakuweje mikoani paongoze kwa maambukizi ya HIV na kwanini isiwe dar hili swali lilikosa majibu na muda mwingine nikahisi kuwa TACAIDS takwimu zao haziko sawa..
Ila sasa nitakuwa na imani kwa niliyoshuhudia sehemu hizi tatu.
Kahama,Shinyanga na Nzega aise hizi sehemu watu wanapenda chini sijawahi ona.
Mabinti wa maeneo hayo ni warahisi mno
Na habari za UKIMWI hawazitambui kabsa. Serikali ina wajibu wa kupeleka elimu juu ya janga hili mikoani ili kunusuru vijana..
Mwisho wa utafiti wangu wa kilichonipeleka katika mikoa hiyo nimegundua kuwa fursa nyingi sana ziko mikoani kuliko dar na sababu kubwa niliyoiona ni vijana wengi kuwa dar na kuacha fursa zilizopo katika maeneo yao yanayowazunguka..
NB: JIFUNZE KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI JAMII INAYOKUZUNGUKA KWANZA.