Role model wa mwenza wako ni nani?

Role model wa mwenza wako ni nani?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,828
Hivi ulishawahi kumuuliza mwenza wako au wewe ungependa nani awe role model wa mwenza wako? Mimi wife kaniambia angependa niwe kama Denzel washington yaani hapa nina mawazo na mimi namtafutia lake....
 
Wangu Amber Ruty ndiye Role model wake, sasa huwa najiuliza, huyu nikimuoa si itakuwa balaa.
kila siku mahakamani.
 
mimi kaniambia anapenda niwe kama agrey mwanri, hapa nilipo namtafutia lake
 
Role modal was mwenza wangu eti Jimy foxy ...nikamwambia Mimi yule muigizaji yule batuli haahah
 
Back
Top Bottom