Kila mwanamke ninayemtokea ni barmade

CUBICBOY

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
306
223
Habar zenu wakuu, nimaimani wote mko na afya njema, wakuu kila mwanamke ninayekutananae mitaani na kumtongoza ni barmade hii nagundua baada ya siku tatu au nne baada ya kunikubalia, kuna wengine ni wahudumu wa gesti na wengine barmade , wakuu nakwama wapi mimi nimekata tamaa ya kutokea wanawake wa mtaani ,hivi nyie mnawasaka wapi mbona wa mitaani wako hivi au maeneo gani naweza kupata mademu ambao decenty
 
Hahaahaha

Hahahahahaha

Aiseee



IMG-20190729-WA0036.jpeg
 
Unatongoza ukiwa na lengo gani
1) kupiga na maisha yaendelee
2)unataka kupata kipoozeo cha muda mrefu
3)mke mtarajiwa
Kama ni 1 piga tu aina shida ,kama ni 2 piga tu aisumbui na ikiwa tatu lazima umchnguze kabla ujatupa nyavu ilijue ni mtu wa aina gani kuepuka usumbufu nakupotezeana muda
 
Hujakwama aisee.

Una nyota sana. Ningekuwa wewe ningekula pombe kiroho safiiiii bureeeeee afu naenda kulala gesti bureeee.

Ah. Maisha yakupe nini brazaaaa?
 
Kwani Barmaids siyo wanawake?
Au hawahitaji kuolewa?

Jaribu JF, naamini hutojutia.
 
Back
Top Bottom