Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Kama Mwanaume utampenda Mwanamke Kwa Kigezo Cha Tabia basi Utaendelea Kumpenda Mwanamke Huyo Huyo Ila Kama Utampenda Kwa Kigezo cha Sura,Rangi ,shape,Makalio na Mengineo Basi Hata Upewe Wanawake wote Ulimwenguni Kamwe Hatoweza Kuridhika