spectator Ion
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 350
- 374
nimeahidi nywele za 50k , na hii msimu ni low season kwangu. Na APA Na mawazo kinouma. We mdada ......
nimeahidi nywele za 50k , na hii msimu ni low season kwangu. Na APA Na mawazo kinouma. We mdada ......
ulipoahidi hukusema huku ila vitu vinakaza unakuja huku vipi mzee baba ?nimeahidi nywele za 50k , na hii msimu ni low season kwangu. Na APA Na mawazo kinouma. We mdada ......
bro ni maamuzi ya wakat Wa raha za dunia..damnulipoahidi hukusema huku ila vitu vinakaza unakuja huku vipi mzee baba ?
wataalamu wanasema usiweke ahadi ukiwa na raha sana wala usifanye maamuzi ukiwa na hasira.bro ni maamuzi ya wakat Wa raha za dunia..damn
bro we ni don. Ata vitu unavyo ahidi ni vya kidon don. Ni maisha tu we can't be riding the same horsenadaiwa SPACIO huku, ww unalia 50k... nakumbuka wakat nko chuo 2010 nlidanganya manze ije kuchukua blackberry kipind hcho n cm pendwa, uyu manz alikua anakataa kutoa papuchi ila siku hyo alitoa fresh, mda wa kuchukua cm nkamwambia kuna vitu nahamisha asubir nxt time akija ataikuta, nadhan mpka saiv anasubiri