Wakuu,
Wasaalam,
Nashauri tuwe na ndoa za mkataba tu sasa. Tuachane na haya mambo ya kale ya kutenganishwa na kifo.
Huu mfumo wa sasa ni wa kizamani sana na kiukweli saivi mambo yamebadilika...
Yani kijana kama unataka kuona dunia chungu owa mwanamke anaekuzidi vitu vifuatavyo
1. Amekuzidi elimu
2. Amekuzidi pesa
3. Amekuzidi maendeleo
Yani wewe huna chochote hapo juu ni pamba tu...
"Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake? Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe neno gani?, labda hivi,
1.KUHUSU...
Huyu bibie jaman huwa simwelewi kabisa, akifika mawenzi huwa nang'atwa, nakwanguliwa mgongo na kucha zake yan mgongoni na machale sio poa, sometimes naweza kula vibao ila baada ya hapo analegeaa...
Dah ulimwengu unaisha kama wanaigiza kilichomo hatari mwanaume amewapanga wanawake kama nini.
Tuanze bossy mwenyewe ,sekretary wasichana wote waofisini nadhani hadi mlinzi chai .
Hata haoni aibu...
Umeanza kazi mjini mwaka wa tatu unaishi kwenye chumba na sebule. Chumbani una dressing table ina perfume kama zote kuanzia Coco Channel, Christian Dior, Estée Lauder nk, make up za MAC na Iman...
Ama hakika.
This is new kipepe.
Serious talks only!
Habari za mda huu, ndugu jamaa na marafiki, leo nimeonelea niseme kitu kuhusu wanawake wengi kua na tabia ya kumzungusha zungusha mwanaume na...
Hii michango imekuwa kero siku hzi watu wapo bze sana kupeana saport kwenye mambo kama harusi tena siku hzi mtu usipo mchangia inakuwa kama mmetengeneza uadui.Binafsi naungana na Mwana fa. ktk...
Masharti haya hapa
»Awe tayari kufunga ndoa nami mapema iwezekanavyo ikibidi wiki ya pili au ya tatu baada ya kukutana. Sitaki maswali kwa hili nina sababu zangu.
»Awe mstaarabu, wale wa macho...
Hii ni mada chokozi. Ni ukweli ambao ni mgumu mno kuupinga kwamba wanawake wengi walio kwenye ndoa hawakuwingia kwenye ndoa kwa sababu ya kuwapenda waume zao. Why?
Mwanamume ni lazima ataanza kwa...
Habari zenu wapendwa.
Siku tatu zijazo natarajia kuchakata msichana ambaye ni bikira, tulikutana siku moja nikahahakikisha kwamba ni bikira nilitaka nimchakate akakataa akasema yupo mwezini...
Ni kweli nipo serious,kwa sasa wale ambao wapo karibu yangu wananifahamu vizuri..nawafahamu vizuri najua wamepitia magumu katika maisha yao wanahitaji faraja sana!
Jambo moja ambalo wanaume...
Kuna dada anafanya kazi kwenye shirika la kigeni, hajaolewa na kazi zake ni za kisafiri sana.
Aliamua kutafuta dada wa kumsaidia kazi za ndani. Kwa kifupi kazi ya dada ilikuwa kwa ulinzi zaidi...
Kuna mwanaume mmoja alioa wanawake wawili. Mwanamke wakwanza hakuwahi kuzaa mtoto, yaani alikuwa mwanamke tasa wakati wapili alifanikiwa kuzaa watoto wakike sita tena wazuri sana.
Yule mke wapili...
Bila shaka hamjambo wakuu!
Tukiwa safarini na Mr kwenda kutizama plant yatu huko Geita ndani ndani migodini
Tukawa tumeamua kulala huko huko, sasa hakuna hotels wala lodge za maana sana sana kuna...
Ni miaka miwili sasa toka tumeachana rasmi B. Msichana mrembo nilieamini ungekuwa mke wangu!
Najua tamaa za dunia zilikuteka ukaamua kuniacha na kuanza mahusiano na mwanaume mwingine!
Kiukwel moyo...
Katika maisha mwanaume inakupasa kufahamu mambo ya msingi yatakayo fanya maisha yako yawe ya furaha, mambo hayo ni pamoja na:
1. Oa mwanamke ambae unaweza KUSALI nae na sio kwa sababu anajua...
Hamjambo wana JF,
Ni hoja ya mtu ambaye si memba, kutokana na ninavyoisifia JF anataka apate ushauri hapa.
"Mimi ni mwalimu wa p/s, nimekuwa kazini kwa muda kidogo.
Siku hizi nakabiliwa na...