Fanya hivi ujue uchungu wa ndoa/mapenzi

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Yani kijana kama unataka kuona dunia chungu owa mwanamke anaekuzidi vitu vifuatavyo

1. Amekuzidi elimu
2. Amekuzidi pesa
3. Amekuzidi maendeleo

Yani wewe huna chochote hapo juu ni pamba tu unajuwa kupiga yani tegemea yafuatayo

1. Mama ku date na watu wengine
2. Kuna sehemu hatapenda kwenda na wewe
3. Kukudharau

Kama huamini jaribu
 
Yani kijana kama unataka kuona dunia chungu owa mwanamke anaekuzidi vitu vifuatavyo

1. Amekuzidi elimu
2. Amekuzidi pesa
3. Amekuzidi maendeleo

Yani wewe huna chochote hapo juu ni pamba tu unajuwa kupiga yani tegemea yafuatayo

1. Mama ku date na watu wengine
2. Kuna sehemu hatapenda kwenda na wewe
3. Kukudharau

Kama huamini jaribu
Please level up wit me.

What if we are equal in all aspects, except mindset.
 
Inategemea unaweza ukawa na vyote hivyo na bado akagongwa na masela nje.
 
Please level up wit me.

What if we are equal in all aspects, except mindset.

Mindset is another problem but I am talking about these guys who lack all those aspects yet is getting in serious relationship with a woman of that kind.
 
hapo ni pesa tu, elimu hapana. Watoto wa kike waliosoma ile kwelikweli (sio wa kubebwa) huwa wako descent sana na wana-matured mind & character, shida ni vijana wa kiume kuogopa kuwatokea.

NB: Mwanaume ukizidiwa pesa na mwanamke basi tafuta kitu cha kukufanya uendelee kuonekana wa thamani au uko juu, vinginevyo kaa mguu pande
 
Back
Top Bottom