Wp ngapi

Wp ngapi

Madam vivian original

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
503
Reaction score
998
Wakuu habar zenu

Leo nilitembelea nilienda Bank nilikua nimebeba kapu, kufika bank nikaona siyo vizur kuingia na kapu ndan ya bank na lina mazagazaga nilikua nimetoka sokon bas nikawakuta walinzi "police" nikawasalimia nikawaomba niache kapu langu yule police mmoja akaniuliza kuna nn humu nikamuonesha nilihisi ni kwa sababu ya usalama pia niliona kawaida

Wakat natoka yule Afande alikua ananiangalia jicho LA kuibia ibia, nikamaliza shughur zangu mle ndani nikawafuata, nikawaambia Kaka ashanten nachukua mzigo wangu,

Yule afande alikua ananitazama tazama akaniambia poa karibu akaniambia Madam Wp ngap, "nikasema unasema" akarudia wp ngapi kama mala tatu hv,
Kwa kweli sikuelewa nikamjibu cjaelewa unamaanisha nn kaka, akatabasam akasema bas poa madam we nenda tu.

Kiukweli hili neno cjawah kulisikia tokea nizaliwe na cjui maana yke, mwenye uelewa na neno "Wp ngap" hembu anieleweshe maana ameniachia mawazo nimejaribu kugoogle labda ntapata majibu lakin wapi

Waafande mliopo humu naomba mniasaidie hii lugha yenu alikua anamaanisha nn yule kaka afande.
 
Posho

Ila mie sio afande msiniogope[emoji2]
 
WP maana yake women police. alidhani nawewe ni police. hakuna jipya zaidi. haya endelea na ujenzi wa taifa
 
Ahsanten nimeelewa nahis alidhan namm ni police mwenzake, cjui kwnn aliniona hivyo but sio mbaya nilikua najiuliza bila kupata majibu

Kweli Jf, hakuna linaloshindikana nimefarijika kwa kweli
 
Walijua umebeba bomu ndo mana wakakuulizia WP ngapi yani code namba za kulipulia mabomu in case limegoma kulipuka lenyewe,🤔🤔
 
Back
Top Bottom