mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,966
Kama umeoa / umeolewa, ukitaka kujua kama upendo umepungua kwa mwenza wako / ndoa mate wako / mgegedano mate / joto lako
Fanya hivi:-
Jaribu kumtega kuwa una safari flani ya kikazi ya ghafla kesho. Ukiona anakubali bila kinyongo na anatamani uondoke hata muda huo ujue hapo mzee baba / mzee mama UNA / UME CHOKWA.
Pia hatojali juu ya suala la kwamba unarudi lini... My brother / my sister
IWA MAKINI HUENDA KUNA SPARE TYRE na jeki imeshapigwa tayari.
"Dawa chungu ni bora kuinywa ikiwa yamoto"
NAHISI UZI TAYARI.