Mimi M'maasai bhana.

Mimi M'maasai bhana.

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,163
Reaction score
2,609
(Intro)
Sikiliza Nafureestyle,Emu Jei Puroductioni,Kwa vijana na wasee,
Nakuja kama Oluwaru Keri keri
(Chorus)
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai ni kitu najivunia umasai fahari yangu..
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji..
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,Nadumisha mila vile wengine washashindwa.
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai
Tamaduni yenye nguvu iliyobaki Afirika.
(Verse1)
Nimtume nani kule kwetu Longido../
aende samilia kule kwa mama watotoo../
ambia yeye Salidalama imejaa joto../
Maisha mbongombogo kila siku ni musoto../
Mimi mpaka waleo bado kamata pesa../
Na kazi ninafanya ya kulinda vitasa../
Sipati masiwa nyama Ngilorit nimekosa../
Nakula maharage na ugali. ngumu kumesa../
Salidalama nacheka watu vile naishi../
Inasema hii masai natembea uchi../
Wao nataka mimi vaa ndisheti kaoshi../
au masuruale kama mimi ni tarishi../
Temeke Ilala Magomeni na Michokeni../
Odisabey Mwenge pamoja na Kindononi../
Pia kuna Sinza menzese na Burugunyi../
Nawesa potea kama nakosa ramani../
Kitu mingi nashangaa hii Salidalamu badala ya kufuga ng'ombe wapate kula nyama..//
Eti inafuga ndevu wawe kama Osama..//
Na bado mutu hiyo mnasema eti imesoma..//
Watu nasema baada dhiki ni fajara../
Maisha hapa Bongo lazima uwe imara../
Ukiwa legelege naesa pata madhara../
Na mwili itakonda kama mfupa ya bangi.
(Chorus)
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,Ni kitu najivunia masai fahari yangu,
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji,
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Nadumisha mila vile wengine shashindwa,
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Tamaduni yenye nguvu liyobaki Afirika.
(Verse2)
Na ile Kindononi imegeuka kuwa Kongo..kila kona Wakongo naimba Ndombolo..
Wanapenda mmasai eroo suphai mimi yeroo nywele imeweka dawa nafanana na ya musee..//
Ebu fundisha mimi kuchesa kiwasense..//
au ile ingine naitwa mshenengule..//
Kwa fijana ya Bongo ingine ni Mabutozi../
Inavaa nakupendresa hapana iko na taxi../
Salidalama jua nachoma kama pasi../
kama hapana oga wezi pata singisi../
Salidalama ata kama ni maji nauswa gari ina derefa naongoswa na mataa../
Ile taa najua saidi kuliko derefa..//
Kama we iko na kosa nakua ya jinai../
Jinai mutu ya wapi kila kosa hakatai../
Nasingisiwa sana au ni rushwa adui../
Nachafuliwa jina na jera hapelekwi../
Mama yeyoo nashindwa andikia wewe mbalai../
sababu nahamahama na ng'ombe everyday../
Nataka kwenda Zanzibar lakini siamini../
Gari ya kwenye maji naeza kusama chini../
Si nakula mimi ni aibu kwa morani../
Bora Simba ale mimi sio Samaki Jamani../
Sina nafasi ya kufa Madumoi kidoi../
(Chorus)
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Ni kitu najivunia masai fahari yangu,
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji,
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Nadumisha mila ile wengine lishashindwa,
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Tamaduni yenye nguvu iliyobaki Afirika,
(Verse3)
Pigia mimi simu umeshanunua motidel../
au piga foko naulizia ole moley../
Mutu ingine nasema masai wati du yu nidi../
awesi amini sasa napresenti fani../
Mpa mimi bia ile naitwa Chibo gold../
Au tuache foma gold baridi../
Natangaswa sana nalewesha saidi eeh../
Na hapa Salidalama wapi naitwa Bise../
Ukitafuta mutu naambiwa yuko bise../
Uko bise ni wapi mbona mimi bado fika../
Naskia bise tu na mwaka inakatika../
Kwani Salidalama watoto naharibika../
Haogopi marasi napendra. kurukaruka../
Mtajirusha sana na mwisho mtaanguka../
Shuka zima motokaa takuja kuumbuka../
Jana mekwendra kunywa soda kwa hoteli..//
Soda ililetwa nikaweka kwa kibakuli..//
Nikaonja hapana iko sukari kamili..//
Nikataka niongeze ata kijiko mbili..//
Au kijiko moja isiwe kama asali..//
Hadi watu nasema masai mushamba kweli..//
Soda bila sukari na bado nauzwa ghali..//
Napewa chupa moja nauswa mia mbili..//
Soda kama maji bado imejaa magadi..//
Chungu kama Ngolotii mtauza makusudi..//
Ati mnasema ni kilabu sote..//
(Chorus)
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Ni kitu najivunia masai fahari yangu,
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji,
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Nadumisha mila vile wengine lishashindwa,
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Tamaduni yenye nguvu iliyobaki Afirika,
(Autro)
Profesa Rodiko,Bhagosi bhakaya,Emanuel Motika,Tanga bado jalala bha fani,Yoo Alexander Lemundu.
#Big Shout Out kwa Wamaasai wenzangu wote humu JF.
@NgarenaroBoy.
 
Japokuwa ulieandika hii lyrics ni #umeeki
Umejitahidi marekebisho....
Nakuja kama Tofaru KK ikipaswa kuwa #oluwaru kerikeri
Kirori...ilipaswa kuwa #Ngilorit
 
  • Thanks
Reactions: Paw
(Intro)
Sikiliza Nafureestyle,Emu Jei Puroductioni,Kwa vijana na wasee,
Nakuja kama Tofaru KK,
(Chorus)
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai ni kitu najuvia umasai fahari yangu..
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji..
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,Nadumisha mila vile wengine washashindwa.
Tamaduni yenye nguvu iliyobaki Afirika.




(Verse1)
Nimtume nani kule kwetu Longido../
aende samilia kule kwa mama watotoo../
ambia yeye Salidalama imejaa joto../
Maisha mbongombogo kila siku ni musoto../
Mimi mpaka waleo bado kamata pesa../
Na kazi ninafanya ya kulinda vitasa../
Sipati masiwa nyama kirori nimekosa../
Nakula maharage na ugali. ngumu kumesa../
Salidalama nacheka watu vile naishi../
Inasema hii masai natembea uchi../
Wao nataka mimi vaa ndisheti kaoshi../
au masuruale kama mimi ni tarishi../
Temeke Ilala Magomeni na Michokeni../
Odisabey Mwenge pamoja na Kindononi../
Pia kuna Sinza menzese na Burugunyi../
Nawesa potea kama nakosa ramani../
Kitu mingi nashangaa hii Salidalamu badala ya kufuga ng'ombe wapate kula nyama..//
Eti inafuga ndevu wawe kama Osama..//
Na bado mutu hiyo mnasema eti imesoma..//
Watu nasema baada dhiki ni fajara../
Maisha hapa Bongo lazima uwe imara../
Ukiwa legelege naesa pata madhara../
Na mwili itakonda kama mfupa ya bangi.



(Chorus)
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,Ni kitu najivunia masai fahari yangu,
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Naruhusu kushangaa kwa wageni na wenyeji,
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Nadumisha mila vile wengine shashindwa,
Mi mmasai bhana nasema mi mmasai,
Tamaduni yenye nguvu liyobaki Afirika.




(Verse2)
Na ile Kindononi imegeuka kuwaKongo..kila kona Wakongo naimba Ndombolo..
Wanapenda mmasai eroo suphai mimi yeroo nywele imeweka dawanafanana na ya musee..//
Ebu fundisha mimi kuchesa kiwasense..//
au ile ingine naitwa mshenengule..//
Kwa fijana ya Bongo ingine ni Mabutozi../
Inavaa nakupendresa hapana iko na taxi../
Salidalama jua nachoma kama pasi../
kama hapana oga wezi pata singisi../
Salidalama ata kama ni maji nauswa gari ina derefa naongoswa na mataa../
Ile taa najua saidi kuliko derefa..//
Kama we iko na kosa nakua ya jinai../
Jinai mutu ya wapi kila kosa hakatai../
Nasingisiwa sana au ni rushwa adui../
Nachafuliwa jina na jera hapelekwi../
Mama yeyoo nashindwa andikia wewe mbalai../sababu nahamahama na ng'ombe everyday../
Nataka kwenda Zanzibar lakini siamini../
Gari ya kwenye maji naeza kusama chini../
Si nakula mimi ni aibu kwa morani../
Bora Simba ale mimi sio Samaki Jamani../
Sina nafasi ya kufa Madumoi kidoi../




(Chorus)
Logic ya Uzi sijaielewa
 
Come a little closer baby
Girl I want to feel your body
Lead you right next to me
We can be the life of the party
I just want to let you know
I love the way your movin'
Never want to let you go
Never want to stop the music
Daron Tavaris Jones! Na Na Na Na!
 
Rest Easy Mr.Ebbo! Ile Ngoma ya Bhado naielewa sana.
 
Back
Top Bottom