Ulishawahi kuachwa na mpenzi usiku wa manane?

Ulishawahi kuachwa na mpenzi usiku wa manane?

Hhaha mbona kawaida. Hiyo ngoja pakuche mtabembelezana hangover zikipungua. 😃
 
siku nyingi sana sijawa huku. mko poa walala macho wazi wenzangu?
 
Mm nilishawahi achwa mara mbili nikiwa dansi, mzigo wamgu kila siku (nilikuwa sijamuoa) jamaa kanipora na bia zimejaa na chips lkn nikatorokwa, asubuhi karudishwa keshagirigiswa, mwingine dansi pia wakati wa kutoka kaenda na mwenye dau mchana nikarudishiwa
 
Hivi ulisha wahi kuachwa na mpenzi wako saa nane usiku mpak ukajiuliza kwann hukuwah kulala!!!
Hadi unamuacha anaondoka, unamuangalia akitokomea......
Aiseee, huo ni moja kati ya uzembe mkubwa ulio tukuka wallah.

What if anaondoka kwako huo usiku wa manane, then anapatwa na jambo baya wakati tu ametikea kwako...
 
It was a phonecall...[emoji24]
 
Back
Top Bottom