Sleep over wazazi mnazichukuliaje?

Hawa watoto wa English Medium wana hizi arrangements za sleep over. Kwakweli niitwe zilipendwa hii kitu haitatokea nyumbani kwangu.
Hatari sana mkuu sio English medium tu...kuna shule moja ya kata, form 4 walikuwa wanachangia Kama 30 ya chakula, alafu wanakuwa wanalala shule (shule ilikuwa inanyumba kadhaa na magodoro ya kutoshana)....Hii iliazimia kuimprove watoto kielimu na muda mwingi wawekezaji focused na masomo tu, but wahuni sio watu wazuri yan ilileta urahisi wa watoto kutoroshwa usiku na pia hata walimu mwenyewe wa kiume kujikarabatia... Sio hivyo tu hata wanafunzi wenyewe walikulana mpaka sio vizuri......kitu kizuri ni kuwa kila mzazi anajua namna ya kumlea mtoto wake katika mazingira anayoona ni mazuri, ila kulipia kabisa mtoto wako akawe karibu na wahuni sio jambo zuri
 
Nahisi sleepover ndo mwanzo wa mtoto kujua tabia ambazo zaweza kuwa si nzuri

Ikitokea basi inabd kuchaguana familia chache..zenye ahueni ya malezi ama kusiwe mbali na nyumbani..
 
Mkuu safi sana usibadilishe uamuzi wako...sleep over iwe shule au kwa marafiki zake inahatari kubwa..... sleep over haina msaada mkubwa zaidi ya hasara maana nyingi ni kwenda club tu, kuongelea mapenzi yan na wakiwa na simu basi ndo uhesabu umeumia
Ninamaanisha haitatokea aende wala arudi
 
Mtoto wa kike hawachungwi, ukimbana sana ndio kuna hatari ataliwa sana. Hii kutokana na uzoefu wa miaka 20 ya kwenye game na mabinti
 
Kuna mwana aliletaga uzi humu JF...

Anasoma Ujerumani eti akapata kabinti kakijerumani kazuri ka 16...

Kakampeleka hii mnayoita sleepover walipofika nyumbani kakaiambia familia eti yupo chumbani na mwana.

Wakaanza mambo bwana katoto kakawa kanalia zile....walipomaliza wakaja sebuleni..

Baba anakauliza eti ilikuwa taamu eeeh. ila jamiiforums bhana hawa watu sijui wameenda wapi siku hizi hatucheki.

Mwana popote ulipo nakusalimu aiseeh.
 
Kuna Mekuu mmoja alioa mzungu. Walipata watoto wakike walipokua binti sikumoja alimleta boyfriend nyumbani. Mzee anatoka maliwatoni asubuhi anakutana na kajamaa na boxer kama yuko kwake.

Mzee alivuta mkanda wa suruali alianza kuchapa binti ametoka anapiga kelele. Mama anaomba yaishe wasiamshe majirani.

Mzee alicharaza wote. Kijana aliokoa maisha yake ndani ya boxer nje snow inaanguka.
 
Ndio dawa yake bazazi huyo mtoto,huku nje snow iligandisha mpumbu zke

Back
Top Bottom