Awowo Apewe
Member
- Jun 5, 2019
- 72
- 89
Hapa Rainbow Dodoma saiz tinacheki Game la Arsenal kama unaweza jongea basi fanya hivyo...Kula kunywa juu yangu(free)
"tinacheki" hapo tu ndo sijaelewa kwingine nimeelewa mkuu.Mimi mwenyewe nipo nasubiry game ya Liverpool.Hapa Rainbow Dodoma saiz tinacheki Game la Arsenal kama unaweza jongea basi fanya hivyo...Kula kunywa juu yangu(free)