Nimesshindwa cha kumshauri ,masaada wako muhimu

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
710
Reaction score
1,012
Wakuu, nina jamaa yangu Rafiki yangu wa karibu sana. Tumejuana since we have 5 years olds, we studied kindergarten together na Elementary together. Tulivofika secondary tukawa tumetengana kwa muda, tukaja tena kukutana University, how lucky.

Mpaka sasa, chake changu na changu chake, yes I can say that. We share our thoughts together no one accept got agitated or become solitude. We always been happy since day one. We are devoted for each other in deeply from our hearts but today he told me something strange. I failed to advice him damn he feel so solitude and miserable.

Ipo hivi Leo alikua na chick wake somewhere they hang on in non- growing condition cm ya Mpenzi wake ikaita jina jimeseviwa CWTY damn wat the hell? Jamaa akwa mpole akajifanya ajaona demu akakushia ile cm hakuipokea , mshikaji wangu akajikaza kiume but truly got hurt and become heartless akaa kimya day ikaisha wakaagana akarudi home but jaama ananishauri anapenda saana na Mwanamke pia anhisi anampenda but jamaa ananiambia nimshauri afanyeje na exactly anajua ile cm ni mwanaume mwingine jamaa kaseviwa jina lake halisi . kanambia nimshauri etii mimi nikamuambia subiri kwanza niombe ushauri kwa wengine i will let ya know bruh

Wamepanga mengi mazuri wana malengo mazuri sana yaani hapa nitakachomuambia ndo atakachokifanya 100% ndo mana nimeomba ushauri kwanza
(1)nimejiuliza nikumuambia amuache akamuacha how bout the girl?
(2)Na nimejiuliza nikimuambia aendelee nae vip mwanamke akimtenda lawama si itakua kwangu wakuu

hili swala ni zito mm mwenyewe sitoliweza ushauri wako utakua ni muhimu
Asanteni.
 
Sasa mkuu, kama huyo shem wako hakupokea hiyo simu akiwa na mshkaji wako, kosa la mwanamke liko wapi? Au mie sijaelewa[emoji848][emoji848][emoji848].....Anyway tuendelee...Inawezekana hakutaka kupokea kwani anamuheshimu sana mpenzi wake hivyo hakutaka ku-missbehave mbele ya mpenzi wake au kutoka kwenye mood baada ya kuipokea ile simu! Mshauri jamaa awe mpole afanye utafiti wa kina na wakujiridhisha! Hakuna mwanamke akawa na mwanaume mwingine asijulikane hiyo ni never!

NB: asije akanunua gunia mbili za mkaa bure, kama hawezi kuhimili uvumilivu aachane na mapenzi afanye mambo mengine mpk atakapojiona sasa anaweza kuhimili[emoji41]

Kwako mwalimu kashasha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ni mpenzi wake huyo aliyempigia cm mkuu
 
Mwambie a drop izo hopes from 100% to 30% kwanza pia ajifunze kubalance shobo....ushauri wa nyongeza mwanamke apewi 100% zote ..mpe 50% zinazo baki za ku repair ka moyo kako
 
WANAWAKE KUITANA BABY ,SWEETHEART, LOVE NI KAWAIDA....INAWEZEKANA HUYO ALOKUWA ANAPIGA NI RAFIKI YAKE WA KIKE KAMSAVE HIVYO SASA KUTOKANA NA NA KUWA MDA HUO YUPO NA MPENZI WAKE AKAONA SI VYEMA KUPOKEA..(NIMEWAZA TU)....MWAMBIE HUYO RAFIKI YAKO AKAONGEE NA MPENZI WAKE NDO ATAMUAMBIA NANI ALOPIGA

#NIGUSE NINUKE
 
Wa University lugha ipo hivi, huko ‘O’ level ulikuwaje? Pole zimfikie mwalimu wako wa lugha ya kiingereza popote pale alipo ila mnastahili pongezi mlioweza kusoma hilo bandiko na kulimaliza.
ok wewe unaejua ungetakiwa unirekebishe na sio kuongea maneno yasiofaa.. nambia mkuu hapo umekosea na sio kuongea hivo ndo tunavyofundishana. asante.
 
Hapo lazima ushtuke yeye ameseviwa jina la kawaida alafu huyo mwngne sweert daah inaumiza ila jamaa amejikaza tu kiume
 
Utafiti nilioufanya mimi nikwamba.

Baadhi ya wanawake Akishaona unampenda, umemuoa au umemwekea malengo makubwa na ameshajua hayo unapenda uyatizime MARA hujiamin sana, hujiachia kiasi cha kufikiria kua na mchepuko sababu anajua pemben yupo mtu alomuahidi ndoa naivo anachepuka kama sehem ya Nature .

Msipende sana kua serious na mabinti hawa wa mjini wasojielewa.

Jamaa ako, anadalili kabisa za kupunguza siku zake za kuishi.
 
Kumuua kobe inahitaji timing,
Mna uhakika kama huyo CWHT anakula hapo ?
Kama mna uhakika na hamuqwezi kichimba zaidi geuzeni shingo taratiiibu angalieni upande wa pili
 
Wakuu nina jamaa yangu Rafiki yangu wa karibu sana tumejuana since we have 5 years old we study kindergarten together Elementary together , tulivofika secondary tukawa tumetengana kwa mda tukaja tena kukutana university how luck we had mpaka sasa chake changu , na changu chake yes i can say that. We share our thouts together no one accept got agitated or become solitude we always happy since day one. we devote for each other in deeply from our hearts. but today he told me something strange ... i failed to advice him damn he feel so solitude and miserable.

Ipo hivi Leo alikua na chick wake somewhere they hang on in non- growing condition cm ya Mpenzi wake ikaita jina jimeseviwa CWTY damn wat the hell??.. jamaa akwa mpole akajifanya ajaona demu akakushia ile cm hakuipokea , mshikaji wangu akajikaza kiume but truly got hurt and become heartless akaa kimya day ikaisha wakaagana akarudi home but jaama ananishauri anapenda saana na Mwanamke pia anhisi anampenda but jamaa ananiambia nimshauri afanyeje na exactly anajua ile cm ni mwanaume mwingine
jamaa kaseviwa jina lake halisi . kanambia nimshauri etii mimi nikamuambia subiri kwanza niombe ushauri kwa wengine i will let ya know bruh

wamepanga mengi mazuri wana malengo mazuri sana yaani hapa nitakachomuambia ndo atakachokifanya 100% ndo mana nimeomba ushauri kwanza
(1)nimejiuliza nikumuambia amuache akamuacha how bout the girl?
(2)Na nimejiuliza nikimuambia aendelee nae vip mwanamke akimtenda lawama si itakua kwangu wakuu

hili swala ni zito mm mwenyewe sitoliweza ushauri wako utakua ni muhimu
Asanteni.
Anasubir nn kuchomoa betri
 
Chuo mmemaliza? Kama bado, hebu someni kwanza mjenge ya msingi.

Halafu kwa uzoefu wangu, mapenzi yanayoanzia chuoni mara nyingi huwa hayaendelei after school hata muwe na malengo kiasi gani. Huku kitaa kuna kuna kanuni zake ngumu mno.
 
Jamaa hana chake hapo yani Angekuwa mwanaume kweli ilibidi amkazie manzi palepale kuwa apokee ile simu...!!
 
Siku nyingine kama unaandika english, andika mwanzo mwisho....sio kutuchosha bhana.
Mim nakushaur ujifunze grammar vizur na phrasal verbs sio kuharibu lugha ya malkia khaaa
 
Kama unaamua kutumia kiswahili tumia kiswahili. Na kama ni English basi iwe English tu.
 
Wa University lugha ipo hivi, huko ‘O’ level ulikuwaje? Pole zimfikie mwalimu wako wa lugha ya kiingereza popote pale alipo ila mnastahili pongezi mlioweza kusoma hilo bandiko na kulimaliza.
Kumbe na wewe umeona, kaandika hovyo hovyo tu, kumuelewa inakuwa ngumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom