Jamani Dunia

Jamani Dunia

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Nimemzoea mtu yapata miaka kadhaa huwa anajionyesha yeye ni malaika alijiweka sehemu ya mimi kumuamini ila alitoka akampa kazi mtu mwingine nikatika kampuni ya rafiki yake

Akaona isiwe tabu kaniambia na kunionyesha msichana aliyempigania kumpatia jamani kimeniuma na nimeamini kwamba sio kila mtu unamwamini nimemfungulia moyo wote nimemuamini ila siku ya mwisho kanibwaga bwa.

Naalijua itanisaidia kwa mahitaji ya shule kama ada na kulipia chumba cha kuishi.
Ila alifanya tu eti wengine wanatamani kusaidia mtu mwingine rafiki kipenzi ndio hivyo.

Alichonifanya.
 
Tena mshukuru Mungu hujui kakuepusha na nn. Move on na ktk maisha usije ukamtegemea mtu hata siku moja. Mwoneshe ya kuwa unaweza bila yy.ipo siku atarud kwa aibu mwamini Mungu.
 
Tena mshukuru Mungu hujui kakuepusha na nn. Move on na ktk maisha usije ukamtegemea mtu hata siku moja. Mwoneshe ya kuwa unaweza bila yy.ipo siku atarud kwa aibu mwamini Mungu.
Ungejua nimekuwa tu napigwa na butwa
 
haki ya nani vile hata walaa hujatulia..

yalokukuta hayajakosea njiaa
Kila uangukapo sio kila binadamu atakuonea huruma kuna wale wanafurahia yaliyokupata.
Nawamashangilia KATOTO KAZURI NI MALAYA ONA YALIYOMKUTA ila kunausemi ukimwona mwenzako ananyolewa zako tia maji.
Shida humpata mtu yeyote duniani haikiachii.
Ila yangu ndio hii hapa
 
Yes leo ndio nimeona hilo kabisa from now onwards i will take resposibilities of my life.
Vizuri kama umelijua hiloo..

Hutakiwi kuhuzunika.

Alafu kwa nini hutaki kuniruhusu wewe bibiee..?

Nakuonea huruma sana.nakuona kama upo mpweke katoto
 
Vizuri kama umelijua hiloo..

Hutakiwi kuhuzunika.

Alafu kwa nini hutaki kuniruhusu wewe bibiee..?

Nakuonea huruma sana.nakuona kama upo mpweke katoto
Wewe maneno yako ndio ngumu kuyameza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom