Wanawake hawana vipaumbele maalum vya kudumu kutoka kwa Mwanaume wanaemtaka ili wampende; Hata pesa siyo kipaumbele chao!

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
6,519
2,000
Nazungumzia sifa maalum ambayo ipo constantly kwa mwanamke katika kuchagua mwanaume haipo!

Hata wanawake nao hawajui, ukimuuliza mwanamke anapenda mwanaume gani; utasikia; "Oooh mimi napenda, awe na kipara, mrefu wastan, awe na nywele nyingii,kidevu kiwe kimepinda kidogo, mweupe, mcheshi, asiwe na mdomo, awe anajielewa,.......N.K yaani utazani anatoa oda kwa mkaanga chipsi... Hadi akimaliza kukueleza utagundua anaemtaka hayupo

Watu wengi wanafikili pesa ni kipaumbele kwa mwanamke, hapana, kwa taarifa yako hata wenye pesa hupigwa za mbavu vilevile.

Pesa ni silaha ya udhaifu(weakness) lakini siyo kipaumbele rasmi cha mwanamke! Pesa ni udhaifu unaochagizwa na ukata/ugumu wa maisha kwa binadamu mwenye jinsia yoyote lakini siyo kipaumbele cha mwanamke kumpenda mwaname!

Hadi karne ya 21 hakuna tafiti hata moja inayoonesha mwanamke anapenda mwanaume mwenye sifa gani! Hii inadhihilisha kauli yangu kwamba woman is for all; ndiyo maana mwanamke unaweza kumhonga range lover lakini akaja kunipenda mimi ninaemzibia pancha tairi.

Hizo six packs au kunyanyua vyuma napo ni mbwembwe tu za show-off lakini siyo kipaumbele kwa wanawake hata kidogo! Kuna wanawake ukinyanyua chuma ukajazia badala ya kuwasisimua wao wanatetemeka;

Kinachofanyika kwa wanawake wengi huwa ni kumzoea mwanamme na kumvumilia lakini siyo kwamba huyo mwanaume anasifa stahiki. No!!

Hata walioolewa kwa kulazimishwa walilia wiki ya kwanza walipozoea wakanyamaza na wapo kwenye mahaba mazito hadi leo (walizoea).

Hata boko haramu walipowateka wale mabinti, baadhi ya mabinti waliobakwa waliwazoea boko haram hadi wakagoma kurudi uraiani tena kwa mahaba! (woman love's none)

Hata hao maprofesa na wanawake wenye hadhi na majina makubwa wanatafunwa na wanaume wakawaida sana siku ukiambiwa hutaamini.

Wanawake kamwe hasa wakiafrika ustarajie hata siku moja waseme, never, kisaikolojia jamii haijawajenga kufunguka, ndiyo maana hata wakipenda huwa hawasemi watajipitisha pitisha tu, wakiwa na nyege hawasemi watajichekelesha tu;

Kwahiyo ustarajie hata siku moja wanawake ukajua wanachotaka constant, bado ni siri,

Kiufupi wanwake wapo kama matairi ya gari ukiyauliza yachague njia utasubiri sana , cha msingi we kanyaga mafuta tembea yanapita njia yoyote alimradi gari isipinduke! Iwe lami au vumbi poa tu, uwe fukala na mwenye pesa zote njia! Cha msingi wanasikiliza maamuzi ya dreva.

Hadi sasa haijagundulika bado mwanamke anapenda mwanaume wa aina gani,

Maana hata tajili wa dunia juzi mwanamke kamuomba talaka waachane!

So men keep trying!!!
***********************
PIA Ukitaka kujua mwanaume anapenda mwanamke mwenye kipaumbele gani soma mada hii chini; https://www.jamiiforums.com/threads...aemtaka-matako-siyo-kipaumbele.1572769/unread
 
feysher

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
2,694

Asante kwa kutudadavua
 
castieltsar

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
912
1,000

sijui kama hii tafiti imehalalishwa ....ila 100% legit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
6,519
2,000
Kila mwanamke ana kipaumbele chake. Usitegemee eti wanawake wotee wanapende kitu moja tu kwa mwanaume. Kuna wanapenda pesa wengine wanapenda mwonekano wengine akili wengine umaarufu n.k.
Kama mlivyo nyie wanaume, kuna wanaopenda wanawake weupe wengine wanapenda weusi mara wenye misambwanda n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mfano wewe unakipaumbele gani? huwa unawatongoza au huwa unatongozwa wewe?
 
Jael

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
68,349
2,000
Unatakiwa uwe na vyote, kama hauna basi tunaunganisha hadi tupate tunachokitaka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom