Wanaume pesa tutafute

Weeeeh waulize walokole..we unaona maisha wanayoishi!! yaan ayo mengine sijui watazidishiwa lini mana watenda dhambi ndo wameshikilia uchumi sasa usinambie ntazidishiwa tuu wakati nawaona walokole mtaani wanavyohangaika...kuna pastor mmoja anakujaga home na ana kanisa lake ingawa bado changa uwa akija lazma tumpe either unga tunamchotea au chochote mana hali yake ni mbaya..sasa unabaki unajiuliza ili ni jaribu kwakeee au ndo anasubiri muujiza?.
Mtafute Mungu sana na mengine mtaongezewa
 
Back
Top Bottom