clefting
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 222
- 389
Sasa ipo ivo kuna mdada nilimwona status ya rafiki yangu wa kike nikaomba namba nikapewa nilivyomcheki hakuzingua akawa ana respond vizur tuu nikamwomba picha akanitumia anaonekana mzuri kweli na alinivutia nikamwalika geto kwangu akakubali alivyofika kituoni nikamwambia panda bodaboda maana najua ni sister duu hawez tembea nikawa npo road namsubiria duuuh kitu nilichoona nilijutia sana bongee kubwa alaf refu nikajilaumu sana kwann nilikaa sehemu inayoonekana maana nilishindwa kumkimbia
Hamu yote ikaisha nikalipia boda boda tukaingia geto baada ya mambo kadhaa nikamsindikiza lakn nilikereka sana.
Hamu yote ikaisha nikalipia boda boda tukaingia geto baada ya mambo kadhaa nikamsindikiza lakn nilikereka sana.