Wadada wa kazi kwanini siku hizi hawakai?

Maisha ya mjini siku hizi yamekuwa magumu sawa tu na kijijini. Kakimbia kula kande kijijini, anakuja kwako anakutana na dagaa from Monday to another monday, kakimbia vumbi la kijijini, anakuja kwako unamlaza kwenye chumba kisicho na hewa na kigodoro ambacho watoto wamekikojolea mpaka kimebadilika rangi alafu mwisho wa mwezi unampa sh elfu ishirini unategemea akae?
 
mnawapigia kelele sana.kila litu wafanye wao utadhani mmevunjika mikono.hamridhiki.nina rafiki yangu ni mjamzito kila msichana wa kazi hakai nae .kwa vile ni mjamzito nikaona nimsaidie ptuuu ananikera aisee ni mlalamishi .haridhiki .ni mvivu hafanyi chochote . hata anywe maji glass atairusha kwenye sinki. akinywa mara kumi glass zote zishaamia kwenye sinki .khaa .kuwa beki tatu sio utumwa aisee .nimenyamaza tu ila hatokaa apate wa kuishi nae
 
wakat mwingine sisi wenyewe tunashindwa kuendana nao kwa kuwa fea kwao,maana nao ni binadamu,
utakuta mdada saa kumi alfajiri yuko macho ,na halali mpaka nyie mrudi ,je anapumzika saa ngapi na hana juma mosi wa jpili
hizo kelele pia anazopigiwa . dada njoo hajafika .au nenda kule . kuna watu wanajiona bora sana kumbe ni mgawanyo tu wa maisha
 
Mnaweza kuwa mnamuhudumia vizuri tuu mahitaji yote, ila sasa kwa tabia zenu wenye nyumba ndiyo sababu....huenda mmoja kati yenu (wanandoa) anamfanyia mwenzake usaliti halafu dada wa kazi nae anafahamu na huenda anashuhudia vitendo vinavyofanyika, kwa fedheha hiyo kama ana ustaarabu hawezi kuendelea kuwepo mahali hapo kwani anaona ndiyo kama anafanyiwa yeye vile. mtazamo

Sent from my JamiiForum Mobile App

hizo kelele pia anazopigiwa . dada njoo hajafika .au nenda kule . kuna watu wanajiona bora sana kumbe ni mgawanyo tu wa maisha
umeona eee ,yaan wanashindwa kuwachukulia nao ni binaadamu wana haki ya kupumzika ,wao wanaona kashakuwa mfanyakazi basi ni kumtumikisha tu kama punda,
Pia unakuta katika maswala ya chakula yaan hawana haki ya kula vizurii
 
namna unavyoishi nao..

kuwa muwazi toka akitoka huko kuwa utakuja kwangu labda kuna mtoto mdogo nafasi ya kutoka toka hamna .. nasema hivi sababu wengine wanakuja kwa nia awe huru apate na mchumba sasa ukimbana ndiyo inakuwa hatimizi lengo lake na kuamua kuondoka....

kuna jirani yangu yeye anatabia ya kunyanyasa kwenye swala la chakula pamoja na kutoka kijijini ujue swala la chakula kwao siyo tatizo na kipo kingi huwa wanashangaa kwa nini ananyanyasiwa chakula so huwa hawapo tayari.. na kuamaua kuondoka..

kingine kumtreat dada wa kazi kama kinyago ndani ya nyumba aisee huwezi kaa nao, mfanye part ya familia japo watu weni husema dada wa kazi si ndugu yako hata umfanyie wema vipi hawezi kukushukuru my dear kama unaangalia kushukuriwa zaidi ya kuhudumia familia yako jipange...

kauli mbaya kumsema mbele ya mumeo , wageni watoto yani ukaa hapo home kama mbogo, kufoka foka tu wewe ni kumsimanga mwanzo mwisho hawezi kaaa,.....

mpe nafasi ya kupumzika labada jumapili take over baadhi ya majukumu kama kupika , na usafi wa nyumba na yeye mruhusu atoke ila muonye kuwa akipata mimba huko na magonjwa hapa ahana nafasi atakuwa makini........

fundisha watoto na watu wa familia kumwona kama mingoni mwa wanafamilia na si mtu au kijitu ..

punguza lawama kwa dada yani we ukitoka kazini ni kukosoa tu na kulalamika tu mwanzo mwisho. kama umekuta kitu akijafanywa vizuri kifanye huku ukimuelekeza kwa upole au wakatu mwingine fanya wewe atajifunza kupita wewe.. si unafika unagomba tu kisirani tu..

mlipe mshahara wake kwa wakati na incase kama utachelewa mpe taarifa kuwa samahani nitachelewesha mshahara wako si unakaa kimya na kuanza kumletea gubu kwa kisingizio analala bure na kula bure huku ukisahahu hayo yalikuwa makubaliano yenu..

karibu tena ,
 
mnawapigia kelele sana.kila litu wafanye wao utadhani mmevunjika mikono.hamridhiki.nina rafiki yangu ni mjamzito kila msichana wa kazi hakai nae .kwa vile ni mjamzito nikaona nimsaidie ptuuu ananikera aisee ni mlalamishi .haridhiki .ni mvivu hafanyi chochote . hata anywe maji glass atairusha kwenye sinki. akinywa mara kumi glass zote zishaamia kwenye sinki .khaa .kuwa beki tatu sio utumwa aisee .nimenyamaza tu ila hatokaa apate wa kuishi nae
sijui ndiyo huyu nayemjua gesi imeisha mwezi sasa ajanunua gesi anakula huko huko .. dada huku home hana chakula .. kama ni huyu ajiandae kuacha kazi alee mwanae
 
anaacha kununua gesi kwamba dada ndo kamaliza gesi sio? fala sana wanawake wengine wanatuaibisha kweli yaani
ndiyo na hana jiko lingine , dada anamlipa elfu hamsini sijui anategemea huyo dada akijifungua atamlisha mwanae kwa upendo wakati yeye anamshindisha njaa ,... mpuuzi sana huyo dada
 
namna unavyoishi nao..

kuwa muwazi toka akitoka huko kuwa utakuja kwangu labda kuna mtoto mdogo nafasi ya kutoka toka hamna .. nasema hivi sababu wengine wanakuja kwa nia awe huru apate na mchumba sasa ukimbana ndiyo inakuwa hatimizi lengo lake na kuamua kuondoka....

kuna jirani yangu yeye anatabia ya kunyanyasa kwenye swala la chakula pamoja na kutoka kijijini ujue swala la chakula kwao siyo tatizo na kipo kingi huwa wanashangaa kwa nini ananyanyasiwa chakula so huwa hawapo tayari.. na kuamaua kuondoka..

kingine kumtreat dada wa kazi kama kinyago ndani ya nyumba aisee huwezi kaa nao, mfanye part ya familia japo watu weni husema dada wa kazi si ndugu yako hata umfanyie wema vipi hawezi kukushukuru my dear kama unaangalia kushukuriwa zaidi ya kuhudumia familia yako jipange...

kauli mbaya kumsema mbele ya mumeo , wageni watoto yani ukaa hapo home kama mbogo, kufoka foka tu wewe ni kumsimanga mwanzo mwisho hawezi kaaa,.....

mpe nafasi ya kupumzika labada jumapili take over baadhi ya majukumu kama kupika , na usafi wa nyumba na yeye mruhusu atoke ila muonye kuwa akipata mimba huko na magonjwa hapa ahana nafasi atakuwa makini........

fundisha watoto na watu wa familia kumwona kama mingoni mwa wanafamilia na si mtu au kijitu ..

punguza lawama kwa dada yani we ukitoka kazini ni kukosoa tu na kulalamika tu mwanzo mwisho. kama umekuta kitu akijafanywa vizuri kifanye huku ukimuelekeza kwa upole au wakatu mwingine fanya wewe atajifunza kupita wewe.. si unafika unagomba tu kisirani tu..

mlipe mshahara wake kwa wakati na incase kama utachelewa mpe taarifa kuwa samahani nitachelewesha mshahara wako si unakaa kimya na kuanza kumletea gubu kwa kisingizio analala bure na kula bure huku ukisahahu hayo yalikuwa makubaliano yenu..

karibu tena ,
watu wana lawama shogaa yaani ni kulalamika kila kitu khaa hata mimi siwezi na nilivo mvivu kuongea naondoka siku hyohyo
 
Safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndiyo na hana jiko lingine , dada anamlipa elfu hamsini sijui anategemea huyo dada akijifungua atamlisha mwanae kwa upendo wakati yeye anamshindisha njaa ,... mpuuzi sana huyo dada
kwani kazi ya gesi ni nini kama hutaki itumike iishe?
 
watu wana lawama shogaa yaani ni kulalamika kila kitu khaa hata mimi siwezi na nilivo mvivu kuongea naondoka siku hyohyo
acha kuna nyumba mama akishinda home wanakuwa kama wapo motoni , wanaitwa itwa, wanalalamikiwa yani anapika anaita aje akatiwe kitunguu , ni washezi kweli me mtu wa hivyo akilalamika nasema acha aende tu kunyanyasa watoto wa wenzio as if walipitishiwa mdomoni wako ndiyo ulipata uchungu ni ushenzi tu
 
Aliyemwajiri ndio wa kujiangalia katika mengi.. kuanzia tabia tabia tabia, kazi nyingi mshahara kidogo... n.k.

Nao ni binadamu hawawezi kukaa wasipopapenda na kukosa furaha.
 
Back
Top Bottom