Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika nyimbo nyingi za wasanii wa Tanzania wanapenda kutumia neno hilo. Neno lengine wanalotumia ni VIDOLE NASIMAMIA. Naombeni ufafanuzi jamani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyumba nzima wametoka kwenye sherehe Leo Tanga wanarudi kesho jioni. Nikiwa naangalia Aljazeera, dada yetu wa kazi amekuja sebleni kutoka chumbani kwake anahema. Yupo na kanga moja tu anasema, eti...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mama mtu mzima aje PM chap tuyajenge hata kama ameolewa maana leo tu nataka Lunch wala sio mengine. Mwenye hela zake akuje me namsubiri PM[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu habarini! Nimejaribu kufanya utafiti nimegundua kitu katika mapenzi kuhusu wanawake wote duniani. Mwanamke yeyote huwa anapenda kutembea na mwanaume anaekuwa na wanawake wengi. Nimetembea...
6 Reactions
60 Replies
7K Views
Mke wako hawezi kuwapenda na kuwatetea ndugu zako Kama ndugu zake. Ni wachache Sana wanaoweza kufanya hivyo. Wachache mno. Kuna muda yuko radhi hata mtu baki asaidiwe lakini asiwe ndugu yako...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu Moja kwa moja kwa topic hivi ni kwanini hili swala limekua gumu sana yamenifika wakikaa mbali kuna amani sasa iwe kaja au tumeenda likizo kwa bi mkubwa wiki moja tu amani...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Nina mabest friends wa 5 katika hao 4 wamenizidi umri kidogo me Nina miaka 23 marafiki wangu wengi ni age kuanzia 32+ Kuna mshikaji mmoja ana itwa Adam ambaye nipo nae very closely amebahatika...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Habarini wanajamvi?. Jamani nowadays sio jambo geni, kukuta mtu yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi....ila at the same time mahusiano hayo, yanaonesha kabisa HAYAPO HAI, i mean HAKUNA TENA UPENDO...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini ndugu na Jamaa mliomo humu, Nina imani na hii forum ya kwamba naweza pata ushauri. Narudia tena nina imani. Wakuu in short Nina mke na tulianza kuishi pamoja mwaka 2011 na tuna watoto...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Wakuu nahisi mm ni muhanga wa hili tatizo na pengine kuna watu wanamna kama ya kwangu..... Huwa napata wakati mgumu sana kumtongoza MTU pale napokutana naye kwa Mara ya kwanza, yaani hapo nikuwa...
4 Reactions
170 Replies
23K Views
Kama wapo nitaomba waniambie hapa Faida yake kubwa kisha waniambie ni kwanini wanataka Kushindana na Uumbaji wa Mungu ambao aliwaumba bila mbwembwe zozote zile na ‘ K ‘ zao alishazipima na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baba Neema alitupigia simu #116 baada ya kugundua mwanae kwa jina Neema, mwenye umri wa miaka 16 ni mjamzito na hivyo hatoweza kuendelea na masomo. Mwanzoni, Neema alisita kumtaja aliyempa...
0 Reactions
4 Replies
715 Views
Wasalaam wadau hapa Jamvini Mwanaume ulieoa hebu fanya kumsaidia mkeo kazi za nyumbani kama kudeki,kufua,Kupika,Kuchota maji nk. Muache alale na akiamka mpe hela aende Saloon. Ni hayo tu...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Kama nilivyokuja na uzi wangu wa kuomba wenyeji kwenye baadhi ya mikoa, nashukuru nimetoka Mtwara ahsante kwa mwenyeji wangu kwa ukarimu wako, juzi wakati nipo Mtwara nikapata mwenyeji wa Dodoma...
11 Reactions
115 Replies
8K Views
man's first love is always selfless and unconditional. He puts his lady above anything else, maybe above his family and friends too. But when things don't work out, he is lost. Many stay in that...
1 Reactions
3 Replies
922 Views
Mimi kama mimi napenda mwanamke awe walau na sehemu ya kushika, Sasa kuna wengine wamekauka mpaka kipindi cha mchezo unakakunja na kukakaza mpaka unakaonea huruma. Napenda pia wanawake wenye...
7 Reactions
112 Replies
21K Views
Wadau habarini, naombeni ushauri mwenzenu nina mpnzi wangu anaitwa Magreth tumeanza kitambo sana bt hapa kati tukaja kuzinguana kidogo ila kwa sana nipo nae Ila kuna kitu sikiewi amenambia...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Wadada mmekua na tabia ya kuwabania sex baadhi ya wanaume ambao unais ni chaguo lako, ili akuoe. Yaani unabana kumpa mzigo kisa ukimoa unaisi atakutema, nshakosa wadada watatu. Yaani...
0 Reactions
3 Replies
810 Views
Mweusi wa asili kabisa Mrefu kiasi Nyuma kumebinuka kidogo Sauti nzito flan hivi akiongea Kama anatoka usingizini Rangi asili asiye tumia mkorogo.... Ohooooo kwakweli Mbeya sihami Atuwene...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
natafuta mwanamke wa kuchati nae namba yangu 0676289360
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…