Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,067
Mke wako hawezi kuwapenda na kuwatetea ndugu zako Kama ndugu zake.
Ni wachache Sana wanaoweza kufanya hivyo. Wachache mno.
Kuna muda yuko radhi hata mtu baki asaidiwe lakini asiwe ndugu yako!!
Mwanaume tambua kuwa mkeo Ni rafiki tu wa ukubwani. Muda wowote kila mtu anaweza kuwa na njia yake.
Ndugu zako Ni ndugu zako tu.
Wakiteseka Kama ulikuwa na uwezo wa kuwasaidia ni mwanaume wa kulaumiwa na sio mkeo!!
Hakikisha ndugu zako hawateseki kwa interest za mkeo!!
Ni ushauri tu wanaume wenzangu!!
Sent using Jamii Forums mobile app