Dada wa kazi na kupulizwa miguu

Dada wa kazi na kupulizwa miguu

Kaka Pekee

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
336
Reaction score
567
Nyumba nzima wametoka kwenye sherehe Leo Tanga wanarudi kesho jioni. Nikiwa naangalia Aljazeera, dada yetu wa kazi amekuja sebleni kutoka chumbani kwake anahema. Yupo na kanga moja tu anasema, eti akilala Mchana Chumbani kwake kuna kitu kinampuliza miguu hivyo anaogopa. Alikuwa anaomba nikakifukuze.

Nimetumia dakika mbili kutafakari nikajisemea moyoni. Kama imani yangu ingekuwa kubwa kama mbegu ya haradani. Ningekiambia hicho kitu toka usimpuulize dada miguu na kingenitii.

Lakini kwa kuwa sina imani hiyo acha nikapambane nacho. Muda huu nimetoka kufunga geti kuu. Baada ya hapo ninaenda chumbani kuomba roho ya ujasiri.

Nataka nikapambane na hicho kitu kinachompuliza miguu dada mpaka anashindwa kulala.
Nitapambana nacho kwa kila namna. Na ikiwezekana nitakaa chumbani kwa dada wa kazi kumlinda mpaka Wengine watakaporudi kesho .
" Niombeeni ndugu zangu.
 
Ukiwa mzee wa milinganyo unakuwa unaelewa kwamba dada wa kazi anataka ukuni haraka iwezekanavyo....
 
Na sijui waliambiwa na nani ukishafanya nao tu waanze kumwona mama mwenye nyumba ni kinyago.

Akirudi atajua tu maana dada wa kazi atakuwa ndiye mwenye nyumba.
Ni kweli. Hawajui kuijficha hawa dada wa kazi.
 
Nyumba nzima wametoka kwenye sherehe Leo Tanga wanarudi kesho jioni. Nikiwa naangalia Aljazeera, dada yetu wa kazi amekuja sebleni kutoka chumbani kwake anahema. Yupo na kanga moja tu anasema, eti akilala Mchana Chumbani kwake kuna kitu kinampuliza miguu hivyo anaogopa. Alikuwa anaomba nikakifukuze.

Nimetumia dakika mbili kutafakari nikajisemea moyoni. Kama imani yangu ingekuwa kubwa kama mbegu ya haradani. Ningekiambia hicho kitu toka usimpuulize dada miguu na kingenitii.

Lakini kwa kuwa sina imani hiyo acha nikapambane nacho. Muda huu nimetoka kufunga geti kuu. Baada ya hapo ninaenda chumbani kuomba roho ya ujasiri.

Nataka nikapambane na hicho kitu kinachompuliza miguu dada mpaka anashindwa kulala.
Nitapambana nacho kwa kila namna. Na ikiwezekana nitakaa chumbani kwa dada wa kazi kumlinda mpaka Wengine watakaporudi kesho .
" Niombeeni ndugu zangu.
Nani akuombee alafu ukafanye uasherati/uzinzi?
 
Mmemaliza chuo juzi mmerudi nyumbani kuharibu sio?
 
Nyumba nzima wametoka kwenye sherehe Leo Tanga wanarudi kesho jioni. Nikiwa naangalia Aljazeera, dada yetu wa kazi amekuja sebleni kutoka chumbani kwake anahema. Yupo na kanga moja tu anasema, eti akilala Mchana Chumbani kwake kuna kitu kinampuliza miguu hivyo anaogopa. Alikuwa anaomba nikakifukuze.

Nimetumia dakika mbili kutafakari nikajisemea moyoni. Kama imani yangu ingekuwa kubwa kama mbegu ya haradani. Ningekiambia hicho kitu toka usimpuulize dada miguu na kingenitii.

Lakini kwa kuwa sina imani hiyo acha nikapambane nacho. Muda huu nimetoka kufunga geti kuu. Baada ya hapo ninaenda chumbani kuomba roho ya ujasiri.

Nataka nikapambane na hicho kitu kinachompuliza miguu dada mpaka anashindwa kulala.
Nitapambana nacho kwa kila namna. Na ikiwezekana nitakaa chumbani kwa dada wa kazi kumlinda mpaka Wengine watakaporudi kesho .
" Niombeeni ndugu zangu.
ngoja ukutane na popo bawa waku amber ruty
 
Na sijui waliambiwa na nani ukishafanya nao tu waanze kumwona mama mwenye nyumba ni kinyago.

Akirudi atajua tu maana dada wa kazi atakuwa ndiye mwenye nyumba.
Tabu ipo hapo. Na wepesi kushika mimba hao.
 
Back
Top Bottom