Utafiti wabaini kuwa wanaume wafupi wana wivu kuliko wanaume warefu
2008-03-13 16:31:25
Na EAR Habari
Utafiti uliofanywa na wanasayansi wa Kidachi, umebaini kuwa wanaume wafupi wana wivu mno...
Mkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuongoza kwa kuwa na wanawake wanene na wenye viribatumbo nchini, Dar imeshika nafasi ya pili, Mkurugenzi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania Dk Germana Leyna...
Good evening ladies and gentlemen.
Nianze kuzungumzia mazingira ninayoishi kabla ya yote.Nyumba ninayokaa kuna apartment nne.Katika apartment moja wapo anaishi mtoto wa mwenye nyumba ambaye ni...
Kuna Kitu nimekihisi kama ukiachana na Mpenzi wako kwa Amani kabisa na kama hata Wewe ndiye Mkosaji Kwake ukikiri hilo Kosa Kwake au hata kwa Watu wake wa karibu na hata ukionana nae humchukii au...
Kwanza kabisa nawapongeza Sana kwa kuamua kuzaa wala hamkushawishika kutoa au kutupa watoto choon
Nina ushaur kidogo kwa wewe single mama ambae unataka uje uolewe uwe na mume
Single mama...
Wakuu hii habar imetokea huku kwa tshekedi felix jamaa yang alikua afunge ndoa ijumaa serikalini na jumamosi kanisani ili jumapili iwe party km taratibu za huku zilivyo.
Cha ajabu siku iyo bibi...
Jana nilisafiri kwa basi, pale kituoni kulikuwa na mamma mmoja wa 70+ alikuwa na mtoto wake wa 40s ki umri. Yule kijana alihakikisha mama yake ana maji ya kunywa na matunda ya kula njiani.
Basi...
Ndugu kama kichwa kinavosomeka hapo juu mimi ni kijana mwenye umri unaoruhusu kuoa kua na familia
Lakini hajabu ni kwamba nimekua nikipata wapenzi wa haina moja jambo ambalo limekua likinitatiza...
Poleni na misukosuko ya kusaka mkate wa kila siku hasa katika kipindi hiki ambacho asilimia kubwa ya rasilimali za nchi zinaelekea katika ujenzi wa miradi mikubwa!
Juzi niliona post bwana mdogo...
asalaam wana jamvi
nina jambo hua kila siku nawaza nakosa pa kuuliza, hivi ndugu zangu mashekhe hua mnaambiwa muoe kwa lazima mbona mna uthubutu sana kwenye hili jambo, au wanawake kwenu si kama...
Hizi alama za shuleni zimekuwa zikitafsiriwa ndivyo sivyo kuwa ndio mafanikio pekee kwenye maisha ya wanafunzi mashuleni na vyuoni kabla hawajaingia rsmi mtaani, Vuta picha wewe ulipokuwa shuleni...
Agnes binti mrembo alikutana na Paul kwenye school picnic Paul akiwa kiwa form six na ile picnic iliandaliwa kuwapa relaxation kabla ya mitihani. Agnes alikuwa form five. Waliendelea na...
Habari wanaJF,
Nimekutana na mkasa wa mwanadada aiyejikuta amekuwa msagaji kwasababu ya kufungiwa sana na wazazi wake.
Katika ukuaji wangu wazazi wangu hawautaka kabisa kuniona karibu na...
Nimepata dharura ya kikazi nje ya kwenda nje ya mkoa niliopo... Nimepanga kushukia lodge nikae huko kwa muda wa siku zote nne maana mkoa ninao enda sina ndugu, jamaa na marafiki wa kawaida ila...
Haya majukumu nilikueleza kuwa siyawezi? Tumetoka kula ugali na mlenda luxury dagaa kwa muda mrefu huku pango la nyumba ukinibembeleza nikope kwa shost utarudisha. Leo hii maisha yamebadilika...
1. Ukimuongelesha tu anawahi kukukasirikia tena anakimbilia kusema muachane
2. Kuwa na marafiki wengi wa kiume, ukiona kwako wanaletwa wageni wa kiume ujue unaibiwa peupe.
3. Wanapenda vitu vya...
Kuna kitu kinaitwa nguvu ya mvuto, lakini pia huenda mmeshawahi kusikia au kusoma kitabu kinachoitwa The Secret. Ni kitabu kizuri sana kinachoeleza kwa kirefu na kwa lugha nyepesi inayoeleweka...