UnawezaSamahani wanajamii wa Tz, naomba kuuliza kama kuna mtu anafahamu, JE naweza funga ndoa ya bomani na mtu asie mtanzania!!
haaaaaaaaaaaaaa aaaah aaaah hatari sanaBoma una maanisha jengo ambalo halijaisha au nini hasa mkuu?
Inawezekana kabisa.Samahani wanajamii wa Tz, naomba kuuliza kama kuna mtu anafahamu, JE naweza funga ndoa ya bomani na mtu asie mtanzania!!
Ndiyo inawezekana.Samahani wanajamii wa Tz, naomba kuuliza kama kuna mtu anafahamu, JE naweza funga ndoa ya bomani na mtu asie mtanzania!!
Samahani wanajamii wa Tz, naomba kuuliza kama kuna mtu anafahamu, JE naweza funga ndoa ya bomani na mtu asie mtanzania!!
Samahani wanajamii wa Tz, naomba kuuliza kama kuna mtu anafahamu, JE naweza funga ndoa ya bomani na mtu asie mtanzania!!