curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Ndugu kama kichwa kinavosomeka hapo juu mimi ni kijana mwenye umri unaoruhusu kuoa kua na familia
Lakini hajabu ni kwamba nimekua nikipata wapenzi wa haina moja jambo ambalo limekua likinitatiza kidogo
Nakutana na wachumba waliofanyiwa upasuaji tu
Mtu ambaye hajafanyiwa upasuaji nikianzisha mahusiano naye lazima yavunjike, asa sijui kwa sababu namimi nimefanyiwa upasuaji ndo inakua sababu kubwa msaada jamani kama kuna anayejua haya mambo huenda ni ule msemo wa ndege wanaofanana huruka pamoja
Shukrani