Safari yangu ya jana kwenye basi

Safari yangu ya jana kwenye basi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,638
Reaction score
220,410
Jana nilisafiri kwa basi, pale kituoni kulikuwa na mamma mmoja wa 70+ alikuwa na mtoto wake wa 40s ki umri. Yule kijana alihakikisha mama yake ana maji ya kunywa na matunda ya kula njiani.

Basi lilipofika ilitokea nimekaa nyuma ya yule mama akiwa amekaa na mama mwingine wa umri wake. Walianza kuongea juu ya kijana wake alivyo na msaada.

Yule mama akamwambia mwenzie, alioa lakini ndoa imemshinda, mke alikuwa mchafu na mvivu. Kushinda kwenye simu hata kupika alisahau.

Tukumbuke kupanga nyumba zetu amasivyo tutaachwa wengi baada ya kushinda JF.
 
Wanawake watakao comment hapa wote watajifanya wachapakazi,,

Lakini Mungu anawaona, acheni uvivu [emoji121]
 
Back
Top Bottom