EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,563
- 21,380
Good evening ladies and gentlemen.
Nianze kuzungumzia mazingira ninayoishi kabla ya yote.Nyumba ninayokaa kuna apartment nne.Katika apartment moja wapo anaishi mtoto wa mwenye nyumba ambaye ni mlevi mbwa.Pengine niweke kidogo wasifu wa huyu mpuuzi ambaye amekuwa kero sana kwetu(wapangani).Wasifu wake ni kama ifuatavyo.Kiumri ni mtu mzima anayekaribia kuwa bibi,ana miaka 43,Lakini anaigiza usichana,Hana mme,anaishi peke yake,alitumbuliwa baada ya jiwe kuingia madarakani kwa masuala ya vyeti feki,hivyo kila kitu anamtegemea baba yake.Hana pa kwenda baba yake amemuweka hapa tunapoishi ili amalizie hapa sehemu yake ya maishailiyobaki Na kibaya zaidi anakula ARV nadhani ndio maana ameshajichokea na maisha
Punguani huyu hamna kitu anachowaza kichwani zaidi ya kuendekeza pombe,hamna siku ambayo halewi,pombe imemshika pabaya sana.Sifa yake ntingine ni mmbea ameshawahi kuitia ndoa ya rafiki yake matatani kwa maneno ya uongo ambayo anamwambia mme wa huyo rafiki yake.Pia ni mkorofi mdomoni ana meno ya bandia maana wameshamng'oa meno kwa ajili ya ugomvi.
Nakumbuka siku za mwanzo nilipoamia hapa kila siku akirudi kwenye mipombe yake anakuja kunigongea nikifungua hamna kitu cha maana anachoongea zaidi ya maneno mengi tabia hii ilikuwa inanikera sana pia alikuwa anataka niwe nae kimahusiano lakini nikawa sina habari naye kutokana na kuwa ameshaungua.Kwanza hana mvuto amekondeana kama wale ng'ombe saba ambao farao aliwaota ng'ombe ambao walikuwa wanawakilisha miaka saba ya njaa kule misri.Bada ya kuona sina habari naye akaanza kunizushia mambo ya kishenzi kuwa natongoza wake za watu,mara natembea na wake za watu,ilifika wakati alimwambia mwenyekiti wa mtaa kuwa mimi huwa namtongoza mke wake,mwenyekiti akahaidi kunipiga chupa ya kichwa.
Baada ya kuona anazidi kunichafua nilimpiga mkwara kuwa nitampasua na nikamtukana sana hadi akaenda kwa mjumbe lakini wakati huo huo akawa kila usiku akirudi amelewa ananitukana kwa mafumbo.Anaweza akarudi usiku saa 5,akakaa garden hata masaa manne anaongea tu peke yake ananitukana,analia mwenyewe,anacheka mara anapiga kelele,imagine mtu yupo nje saa 8 usiku mmelala yeye anapiga mikele,yaani akinywa anakuwa tahaira kabisa.Baada ya kumtishia kumpasua na kumtukana na kwenda kunishtaki kwa mjumbe tukuwekewa kikao cha kusuluhishwa,yakaisha ila nikamtahadhalisha kuhusu tabia ya kutupigia kelele na kututukana wapangajui usiku akiwa amalewa,ikiwa ni pamoja na kunitukana mimi,Alihaidi kutorudia lakini baada ya muda alianza tena hiyo tabia kama jana amenitukana sana usiku.Sasa wadau naomba mnishauri nimfanye nini huyu punguani,maana ninafikiria kumtafutia watu wamchape viboko usiku wakati anatoka kwenye mipombe yake.