jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,027
- 4,308
Nimepata dharura ya kikazi nje ya kwenda nje ya mkoa niliopo... Nimepanga kushukia lodge nikae huko kwa muda wa siku zote nne maana mkoa ninao enda sina ndugu, jamaa na marafiki wa kawaida ila nina mwanamke ninae tarajia kumuoa hivi karibuni nae anaishi na mama yake kwa sasa. Nime mshirikisha nimetumwa kikazi kuja mkoani kwenu bt nashukia lodge. akaongea na mama yake amruhusu ni shukie kwao kwa muda wa siku zote hizo nitakazo kuwepo huko.. je, naombeni ushauri wa haraka ni kubali kushukia kwao au nijikaze kibishi ni kakae lodge kwa muda wote huo.. naombeni ushauri wenu wakuu maana pale ni ukweni hili jambo lina maadili kulingana na tamaduni za Mtanzania??