MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Kuna Kitu nimekihisi kama ukiachana na Mpenzi wako kwa Amani kabisa na kama hata Wewe ndiye Mkosaji Kwake ukikiri hilo Kosa Kwake au hata kwa Watu wake wa karibu na hata ukionana nae humchukii au kumnunia Milango yako ya Baraka huzidi Kufunguka Kwako ila kama ukiachana nae ( Mpenzi wako ) kwa Mabifu tele na ukimuwekea Kinyongo huku ukiwa hata hutaki Kukutana nae basi Mabalaa ndiyo huwa yanakuzidi, Maisha yako yanakuwa magumu na Yeye yake ndiyo yananawiri tu.
Je kuna ukweli hapa?
Je kuna ukweli hapa?