Bibi harusi amkataa Bwana siku ya ndoa!!!

kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
1,195
1,919
Wakuu hii habar imetokea huku kwa tshekedi felix jamaa yang alikua afunge ndoa ijumaa serikalini na jumamosi kanisani ili jumapili iwe party km taratibu za huku zilivyo.
Cha ajabu siku iyo bibi harusi alijiandaa kuja kufunga ndoa na mambo yalikua moto moto na wa congo wanapenda sana harusi na mshikaji anajiweza financially maana sisi wafanya biashara wenzake wa madini tulitoa 100usd kila mmoja yaani kifupi Mambo yalikua moto na kwakua wanajulikana iyo harusi kila mtu alikua anaisubiri kwa hamu.

Kimbembe kilipo anzia mimi sijui ila nilicho shuhudia kwa macho ni bibi harusi alikua amesimama pembeni ya bwana harusi ghafla akageuka nyuma kuangalia atakapo angukia kisha akajidondosha pale kwenye ofisi za serikali.
Pilika pilika zikaanza utaka kujua yalio musibu wakaleta gari karibu kumubeba akaamuka wakati huo mambo yameisha vuruganika.
Sasa dunia aina siri kumbe mlengwa akutaka kuolewa wazazi ndio walikubaliana waozeshane watoto.
Harusi ikaishia hapo vurugu zikawa nyingi watu wakasambaa.sasa
Sasa kilicho nistajaabisha sherehe aikuvunjwa kwa misingi kwamba wameisha nununua vitu jana tumekula vitu vyetu bila bibi wala bwana harusi mchezo ukaisha yanayo endelea mimi sijui
Nyie wanawake muwe mnakataa mapema na mahari huku ni mukasi sana jamaa alitoa 2500usd na matakataka mengine ina fika 5000 usd af mwisho ndio mambo ya ajabu ivyo hii dunia iko kasi sana simama nishuke.
 
Hapo bibi harusi katibua shughul yaan ni kama kipa aanzishie mpira kwenye miguu ya striker wa timu pizani katika dakika ya mwisho muda ambao watu Wanadhani match inaenda katika matuta.....watu kufa kwa presha huwa ni jambo la kawaida kutokea
 
Ilikua hatar mshikaji sijui ana khali gan? Maana sisi tuliendelea na mipango ya kula vyetu ya kwao tuka ya bwaga.
Hapo bibi harusi katibua shughul yaan ni kama kipa aanzishie mpira kwenye miguu ya striker wa timu pizani katika dakika ya mwisho muda ambao watu Wanadhani match inaenda katika matuta.....watu kufa kwa presha huwa ni jambo la kawaida kutokea
 
Sometimes ni janja za wazazi kumgema bwana harusi mkwanja.
Yupo jamaa mmoja nimekuwa nikifika eneo lake la biashara mara kwa mara kupata huduma, mazoea yale yalipelekea kujenga ukaribu mimi na yeye. Siku moja akaniambia anataka kwenda kulipia kishika uchumba kwa mpenzi wake pamoja na mahari nusu.
Katika kumdadisi nikabaini binti ni mwanachuo yupo mwaka wa kwanza anaingia mwaka wa pili na anasomea kozi ya miaka minne. Nikamwambia kwann asingoje akifika mwaka wa nne ndio afanye hivyo, jamaa alibadilika na alimanusura kujuana kufe.
Siku ikafika, tukapeleka pesa hiyo sambamba na wazee wengine wa heshima wa mtaa.
Kumbe familia ilikwama hela ya ada ya kipindi ile, wakatumia mbinu hiyo ili kumchomoa mpunga mshikaji, binti akarudi chuoni, mahusiano yakavunjika, jamaa akanifuata tukadai chetu, nikamwambia sio chetu ni chako, nenda mwenyewe.
 
Mambo yanayo endelea now days adi wazazi wanageuza biashara kwa watoto wao wa kuzaa sasa sijui nan? Tumuamin kila kona wazee wa vipindi!!!
Sometimes ni janja za wazazi kumgema bwana harusi mkwanja.
Yupo jamaa mmoja nimekuwa nikifika eneo lake la biashara mara kwa mara kupata huduma, mazoea yale yalipelekea kujenga ukaribu mimi na yeye. Siku moja akaniambia anataka kwenda kulipia kishika uchumba kwa mpenzi wake pamoja na mahari nusu.
Katika kumdadisi nikabaini binti ni mwanachuo yupo mwaka wa kwanza anaingia mwaka wa pili na anasomea kozi ya miaka minne. Nikamwambia kwann asingoje akifika mwaka wa nne ndio afanye hivyo, jamaa alibadilika na alimanusura kujuana kufe.
Siku ikafika, tukapeleka pesa hiyo sambamba na wazee wengine wa heshima wa mtaa.
Kumbe familia ilikwama hela ya ada ya kipindi ile, wakatumia mbinu hiyo ili kumchomoa mpunga mshikaji, binti akarudi chuoni, mahusiano yakavunjika, jamaa akanifuata tukadai chetu, nikamwambia sio chetu ni chako, nenda mwenyewe.
 
Ikisimama ushuke ina ukufe! Uko tayari ?
Wakuu hii habar imetokea huku kwa tshekedi felix jamaa yang alikua afunge ndoa ijumaa serikalini na jumamosi kanisani ili jumapili iwe party km taratibu za huku zilivyo.
Cha ajabu siku iyo bibi harusi alijiandaa kuja kufunga ndoa na mambo yalikua moto moto na wa congo wanapenda sana harusi na mshikaji anajiweza financially maana sisi wafanya biashara wenzake wa madini tulitoa 100usd kila mmoja yaani kifupi Mambo yalikua moto na kwakua wanajulikana iyo harusi kila mtu alikua anaisubiri kwa hamu.

Kimbembe kilipo anzia mimi sijui ila nilicho shuhudia kwa macho ni bibi harusi alikua amesimama pembeni ya bwana harusi ghafla akageuka nyuma kuangalia atakapo angukia kisha akajidondosha pale kwenye ofisi za serikali.
Pilika pilika zikaanza utaka kujua yalio musibu wakaleta gari karibu kumubeba akaamuka wakati huo mambo yameisha vuruganika.
Sasa dunia aina siri kumbe mlengwa akutaka kuolewa wazazi ndio walikubaliana waozeshane watoto.
Harusi ikaishia hapo vurugu zikawa nyingi watu wakasambaa.sasa
Sasa kilicho nistajaabisha sherehe aikuvunjwa kwa misingi kwamba wameisha nununua vitu jana tumekula vitu vyetu bila bibi wala bwana harusi mchezo ukaisha yanayo endelea mimi sijui
Nyie wanawake muwe mnakataa mapema na mahari huku ni mukasi sana jamaa alitoa 2500usd na matakataka mengine ina fika 5000 usd af mwisho ndio mambo ya ajabu ivyo hii dunia iko kasi sana simama nishuke.
 
Ukisema ni wewe kuna ubaya gani mkuu?

Back
Top Bottom