Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, habarini kuna mrembo mmoja nitokea kuzoeana sana nae, nitumie mbinu gani niweze kumtoa huyu mrembo outing au maneno gani nimwambie ili atambue natakako nimualike lunch ,matusi hawaruhusiwi...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu ,naleta Uzi huu kwawadada wadada wa chuo ,wanaringa sana ,wanazingua sana ,wengi wapo kimaslahi zaidi Mwaka jana rafiki yangu amelizwa na demu wa chuo hivi hivi,wadada wa chuo ringeni sana...
2 Reactions
53 Replies
12K Views
Mke asipotoa (tendo), tayari kunakuwa na hisia, anatoka nje ya ndoa. Vivyo hivo kwa mume asipotoa. Je huu ndio muhimili pekee wa kudumisha ndoa? Je pasipo tendo hamna ndoa?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Toka nimemwoa ni mwaka wa tano huu. Kiuhalisia nimeshindwa nmeona bora niombe tu ushauri.wife ni mvivu sana.sana.sikatai ni mrembo kiuhalisia ukiangalia rangi,umbo n.k ipo pia. Lakini sasa. Ni...
21 Reactions
234 Replies
31K Views
Hili halina ubishi kabisa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Binafsi condom sizikubali sana na Mood ya game huwa inakata kama demu ataning'ang'aniza nitumie hiyo kitu. Kiufupi me so mtumiaji wa hayo madude, Ni mimi tu ambae sizikubali au wwngine mpo??
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Niko bar flani hapa Morogoro mitaa Jirani na chuo cha LITI Jirani kuna demu hapa anakunywa pombe Kali(K-vant) chupa kubwa tena anajimiminia kama maji Mkononi ana sigara SM Mtoto yuko poa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
hai wana jf najiuliza maswali nashindwa kujijibu naomba mnisaidie kuna dada mmaja ambaye alikaa miaka 4 bili kuwa kwenye mahusiano na siyo kwamba hatongozwi bali nikupata mwenzi wa maisha na siyo...
4 Reactions
53 Replies
48K Views
Wanajukwaa hapa kwa sasa nipo kwenye hali TETE sijui naanzia wapi namalizia wapi na sijui la kufanya. Nimetulia oficin nikapokea txt iliyoandikwa hivi "NAOMBA UKAE MBALI NA MKE WANGU KABLA...
10 Reactions
158 Replies
13K Views
Sorry wanaJamii forums kama ntakuwa nimeenda kinyume na utaratibu. naomba kuuliza ivi nihalali wanandoa au wapenzi kunyonyana sehem zao za siri? Kwaanayefahau naomba anijibu kwa mktadha wa kidin
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Kama unataka yadumu na kumpendeza Mungu basi msifanye sex! Kama mnapendana msubiriane hadi muoane ili muwe na sex yenye baraka! Asanteni sana, na kama sauti haitoshi mseme niongeze.
21 Reactions
81 Replies
13K Views
Inasemekana mwanaume akienda kwa mganga, basi ameenda kwa maswala ya kikazi au biashara zake....kwa kifupi anaenda ili apate pesa... Lakini inasemekana MWANAMKE akienda ugangani, anaenda ili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ATAONEKANA ANA WIVU ULIOPITILIZA, ATAPATWA NA HASIRA, ATAKUWAZIA SANAHIII YOTE NI SABABU ANAKUPENDA NA HAYUPO TAYARI KUKUACHA Watu husema ni ujinga kwa mpenzi wako kuona wivu, LA HASHA!! Mtu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
1.Kutokua na mawasiliano ya karibu mwenzi wako. 2.Kutokujali maumivu ya mwenzi wako. 3.Ubishi usio na maana. 4.Kutokukubali kosa pindi ukosapo. 5.Kukosa roho ya msamaha. 6.Kutokua muwazi kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za muda huu ndugu, Sikuwahi kufikiria kutoka nje ya ndoa yangu,lakini baada ya kukaa muda mrefu bila mtoto niliamua kutoka. Sasa nashindwa kutulia na mke wa ndani japo huyu wa ndani...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Ndugu wananchi wa JF, NIMESUMBULIWA SANA kuanako mahala pangu pa kazi na watajwa hapo juu wa rika zote hasa 15- 60, Sasa basi kwa faida ya wote ni hivi ukikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi na...
4 Reactions
32 Replies
11K Views
Siku hizi msichana mdogo tu unakuta anabonge la Tumbo, Tafadharini sana fanyeni mazoezi, punguzeni kula kula vyuku vya kisasa na chipsi mayai, Mnatupa shida sana sisi mabaharia kwenye...
10 Reactions
66 Replies
6K Views
Na sitaki mwingine, mi nataka yeye tuu... Tukidumbukia wote kwenye dimbwi la maji na kukaa umbali wa sifuri... Macho yako yangu, pumzi yako yangu, ulacho nakimeza.... Nitake nini zaidi ya...
7 Reactions
95 Replies
7K Views
Sie Old Timers tunakumbuka enzi za Yahoo na MSN Messengers! Hii ni miaka kadhaa iliyopita kabla ya uwepo wa social media kama Facebook. Moja ya majukwaa maarufu enzi hizo, huku yakiitwa Windows...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Jana wakati nipo gheto mida ya night mpenz wangu alinipigia simu kwamba anahitaji nikalale kwake . Kwa kuwa yeye ndie aliyekuwa na huitaji basi nikajikoki mwenyewe mpaka kwake baada ya story za...
1 Reactions
64 Replies
11K Views
Back
Top Bottom