Shemeji yangu ni Snitch nifanye nini kumkomesha

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Huyu ni mke wa brother wangu kwenye mambo mengine tunaishi fresh tu ila kitu kimoja ananikela ni tabia yake ya usnitc,

Jana nimepigwa kibuti na demu wangu kwa sababu yake ya kutembeza umbea kwa mademu zangu kwamba mimi ni malaya na sometime huwapa location/data kabisa jinsi ya kunifumania,

Kusema kweli nimemchoka sana huyu shemeji yangu kwa tabia yake ya usnitch japo kwenye inshu zingine yuko fair ata ikifika kwenye swala la hela siyo bahili kivile ukiwa na shida anakupiga tafu fresh tatizo huo usnitch tu wakuu,

Nifanye nini nikomeshe hii tabia kwake wakuu.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mle kama nyama tu ndio atatulia mana kama anakupa kila kitu basi akupe na hiyo.
 
Huyu ni mke wa brother ambae tumekutana na alinipokea kwenye mishe zangu dodoma siyo brother wa tumbo moja hivyo tumepanga eneo moja ila kila mtu na mishe zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ndugu yangu, mi nakushauri uhame hilo eneo tafuta sehemu nyingine mbali na hapo ili uwe huru. usimchape shemejio kama mnaheshimiana na huyu bro wako. achana nae usichukue hasira ukamgonga. maana hata ukimgonga ndio ujue utajifunga kabisa utashindwa kuwa huru na mademu zako wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ili kumkomesha kabisaaa na asirudie usinitch, achana na mademu wote ubakize mmoja tu; umemmaliza kabisa hapo

Back
Top Bottom