Namna ya kumuomba mwanamke mtoke out

CUBICBOY

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
306
223
Wakuu, habarini kuna mrembo mmoja nitokea kuzoeana sana nae, nitumie mbinu gani niweze kumtoa huyu mrembo outing au maneno gani nimwambie ili atambue nataka nimualike lunch
 
Wewe kukubwa ni kumwambia MAMA BOJO NAOMBAGA TUTOKAGE INJE TUKASHANGAAGE NGALAWA PALE KWA NANILIU, nadhani hapo unaweza kuendelea na hatua nyingine za kiutekelezaji ikiwa ni pamoja na kukutanisha …………….
 
Mwambie unataka kutoka naye dinner weekend. Akikubali hio siku mfate kwake au kwao na gari hata kama huna chukua Uber.
Mkifika huko mnunulie vinywaji na chakula alafu husimtongoze kwa week nzima mtoe out tena alafu mtongoze sasa. Ataamua sasa mwenyewe kama yuko single au already taken
And don't forget to thank me.
 
Dogo ukifuata huu ushauri umeumia!

Amini nakwambia ukifuata tu alichokiandika huyu miss_blossom lazima uje na bandiko lingine safari hii litakuwa ni la kilio.
 
Jumamosi hii mchana saa sita na nusu karibu kwa lunch pale masuluputwe hotel.

Wakuu, habarini kuna mrembo mmoja nitokea kuzoeana sana nae, nitumie mbinu gani niweze kumtoa huyu mrembo outing au maneno gani nimwambie ili atambue nataka nimualike lunch
 
Mwambie unataka kutoka naye dinner weekend. Akikubali hio siku mfate kwake au kwao na gari hata kama huna chukua Uber.
Mkifika huko mnunulie vinywaji na chakula alafu husimtongoze kwa week nzima mtoe out tena alafu mtongoze sasa. Ataamua sasa mwenyewe kama yuko single au already taken
And don't forget to thank me.
Kumbe ndiyo mnapendaga hivi.....

Hivi ukumpigia mwanaume simu kisha akakuambia nipo nyumbani chukua gari uje unafikiria nini? Hajali ?

Maana nimeona hapo umetoa ushauri akachukuliwe...binafsi ningemwambia anifuate nilipo nisingeenda kumfuata.
 
Kwamba uwe una mtoa out mwanamke kila siku kwa gharama zako wewe tena ufanye hivyo kwa muda wa wiki nzima. Na kwa huo muda wote usimwambie habari zozote za mapenzi!

Wewe hiyo inakuingia akilini?
hapana kila siku mh hapana kwa kweli
 
Back
Top Bottom