ushaur pleax...

ushaur pleax...

Ukiumizwa utamuacha na utatafuta mziba pengo. Yaani sijui unasubiria ili ugundue nini!

Mimi, dalili tu za kutaka kuniumiza; nakuwa nimeshampatia kifaa kingine.
Nang'atuka kabisa
 
Umri wako tafadhali!! Usisahau kunipa mawasiliano ya mwalimu wako aliyekufundisha kusoma na kuandika nina ujumbe wake [emoji52]
 
unataman kumwacha mwenza anaekuumiza daily bt moyo unakua haupo tayar kbx...???
Hayo ya kusema haupo tayari huwa ni suala la muda tu. Moyo huwa unahitaji mapenzi ya dhati kadri anavyozidi kukumiza ndivyo nafasi ya upendo inavyozidi kupungua na kutoweka. Sasa hapo ndipo mtu anafikia uamuzi kumuacha mtu aliyempenda.
Jinsi anavyozidi kukumiza itafika siku utamuacha tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom