Jinsi ya kumuacha mpenzi bila kumletea madhara

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,110
3,480
Habarini ndugu zangu,
Naombeni msaada wenu wamawazo juu ya kumuacha mpenzi mlioshibana nae kisawasawa bila kumletea madhara ama hata yakikuwepo yasiwe makubwa kiasi hicho.
Nawasilisha tafadhali.
 
achaneni wote mkiwa na furaha ila ni kwa nini uende kwa mtu kama unajua unachezea hisia zake kama hutaki kumuoa mtu usicheze na hisia zake labda uwe ushamtaarifu kwamba mapenzi yenu yatakuwa ni kwa ajili kuridhishana tuwe wa wazi siku hizi maana unaweza kujiletea kifo hivihivi

ila mwambie wote mkiwa na furaha maana kuna kesho na umwambie sababu zilizoshiba kwanini huitaji penzi lake tena unakuwa muwazi labda unaona mbeleni hamtakuwa na mtazamo mmoja nk..
 
Habarini ndugu zangu,
Naombeni msaada wenu wamawazo juu ya kumuacha mpenzi mlioshibana nae kisawasawa bila kumletea madhara ama hata yakikuwepo yasiwe makubwa kiasi hicho.
Nawasilisha tafadhali.
Nirahisi sana ila usipokuwa smart ningumu sana.
Kwanza badili ratiba yako kidogo ili ahisi ratiba zako zime change.
Punguza call na msg kutokana na wazo la kwanza.
Tatu tengeneza mazingira msikutane na ikitokea unagusa kishikaji una potea.
Ukiweza hayo mengine yatakuja automatic ila usinimalizie desa langu.
 
Anza kwa kujifany upo bz flan hv..jitie kama umesafr kikaz ama umepata safar y gafla kwenda kijijin kuna ishu unashugulikia, ama jitie kam umezulumiwa mal/pesa zako..
Kisha hapo utakuwa usazma swala zima la mawasiliano na ile intimacy then utafaulu kwa yeye kuacha kukufkiria sana ww bali matatzo yako.

Step ya pil ni kuendelea hvhvo kutoa vjsabab vya kuwa upo bz na hl mara lile had mwez miez mwaka unakata bas atajiongeza mwenyew kuwa hana mtu tena
 
Habarini ndugu zangu,
Naombeni msaada wenu wamawazo juu ya kumuacha mpenzi mlioshibana nae kisawasawa bila kumletea madhara ama hata yakikuwepo yasiwe makubwa kiasi hicho.
Nawasilisha tafadhali.
1:Nenda mbali ukifika huko utakata mawasiliano kwa kisingizio cha kukosa mtandao nk,baada ya miezi miwili atakuwa keshampata mwingine ana atakusahau kabisa,naamini yupo nawewe baada ya kuachana na wengine ambao nao tayari keshawasahau.
2:Nenda angaza au popote wanakopima ngoma,halafu majibu yako yawe positive ya kwake yawe negative (baada kula mchango na mpimaji)
3: Mwambie una matatizo ya homa ya ini na umepewa masharti usinanii mwaka mzima(yeye atajiongeza)
 
We jiweke naye mbali tu..matendo yatajieleza...NOTE: Wats goes around wat come around... Uzuri wa maisha bhana utakachomfanyia mwenzako ambaye hana hatia nawewe utakuja fanyiwa hivyo hivyo....Atakama siwewe basi watoto zako....
 
Back
Top Bottom