Mume wangu anataka nijitoe facebook nifanyeje?

Somoe

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
754
282
Mume wangu hapendi niwe facebook, na anataka nijitoe, nami sitaki kujitoa kwa sababu kuna mada motomoto.

Vile vile marafiki na jamaa wananitafuta facebook. Sababu ya kutaka nitoke facebook, anaona wivu nikiongea na wanaume wengine. Kwa sababu sitaki kujitoa facebook, sasa ameanza kunigegeda hadi ananichubua, ananilazimisha nishike mimba, nizae na yeye, na anasema "simpendi kweli" kwa sababu sitaki kufanya anayosema yeye.

Lakini nafanya wanaume wa facebook atakavo. kanitisha na kusema nikiachana nae na nikienda kwa mwanaume mwengine atanichinjilia mbali, hapendi masiara. Fyoko fyoko hapendi.

Niliwachezea hao hao mabwana wengine. Sijui nifanye nini, facebook naitaka na mume namtaka, kuzaa sijapanga kwa sasa, lakini mume namtaka, nipo njia panda.

Kwanza mimi nilipanga niwe peke yangu, yeye akataka bora tuwe pamoja, haya mashart mashart ya wanaume mi siyawezi, mimi simfuatili mambo yake, kasema simpendi ndio maana simfuatili, ukweli ni kwamba nampenda hadi hapa.

Najisikia kama hii itaharibu upendo wangu kwake, natumaini kuna waganguzi humu ndani wanipe akili mzuri, natanguliza Asante.
 
mtii mumeo kama atakavyo ila chakuepuka nae asilakuzimishe kufanya mambo amabayo yatakayokufanya umkosee Mungu wako...
so mtii ktk yale yenye kumtia shaka mumeo ktk moyo wake juu yako, ila usimtii ktk yale ya shari baina yako na yeye,
marafiki wapo tu, na marafiki wote huenda wakawa ni wanzuri tu ila bora zaid ktk marafiki wako ni wale wanaokuzunguka, yaan wale walio karibu nawe ktk maisha yako ya kila siku ambayo unaonana nao ana kwa ana.
Namaanisha rafik wa karibu anayekujulia hali kwa kukuona ni bora zaid kuliko yule wa mbali anayekujulia hali kwa text tu wakat hakujui vizur uko vp, kwa7bu hata ukiumwa leo ukawa hoi mahututi kitandan nyumban kwako kias kwamba unahitaj kubebwa kupelekwa hospital na bahati mbaya zaid mumeo hayupo, so hakuna atakayekusaidia zaid ya rafik wa karibu yaan wa ana kwa ana na siyo yule wa social network (facebook)...
so mtii mumeo anataka nini ndugu, fb hakuna issue ktk matatizo zaid ya kurefresh mind tu na ku'waste time "sometimes"...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom