Hivi ni mimi tu ambae sizikubali condom?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Binafsi condom sizikubali sana na Mood ya game huwa inakata kama demu ataning'ang'aniza nitumie hiyo kitu. Kiufupi me so mtumiaji wa hayo madude, Ni mimi tu ambae sizikubali au wwngine mpo??
 
mko wengi tu hata ARV wako wengi tu wenzio.
Binafsi condom sizikubali sana na Mood ya game huwa inakata kama demu ataning'ang'aniza nitumie hiyo kitu. Kiufupi me so mtumiaji wa hayo madude, Ni mimi tu ambae sizikubali au wwngine mpo??
 
Ndio nini hizo mkuu

Fanya kikufaacho sio vizuri kufata mkumbo,ikiwa wewe utumii fine hayo ndo maamuzi yako.
 
mi kavu kavu siendi bila sababu..

labda kama nataka kuzaa na wewe na nijue ni mzm.. nakupima hata kwa ujanja ujanja tu... ila nile kavu eti kisa nina nyegeeez ... hapana kwa kweli..

mimi napenda sana bia.. sasa nawaza nipate umeme nianze kunywa Arv na masharti niache bia.. hapana kwa kweli
 
Kwahiyo ungekuwa sio mnywaji wa beer ungekuwa unapiga kavu?
 
hapana.. nina sterehe nyingi sana zinazonipa raha maishani... siwez kurisk na ngono zembe nipate majanga.. mimi kavu kavu mwiko, na hata boda boda kupanda mwiko, na hata kuwa sehem hatarishi ni mwiko.. hata gari langu kuendesha spidi ni 60 tu nikizidi sana 80.. mwiko kukimbia

hata wanawake niliowahi toka nao wanasema mimi najipenda sana na kujijali... na ndio maana hata gheto lazima niwe na bia kwenye frij mda wote . nikitoka job tu.. najipongeza
 
Back
Top Bottom