Mke wangu simwelewi kabisa, ananilazimisha niwe na mchepuko

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,095
2,429
Toka nimemwoa ni mwaka wa tano huu. Kiuhalisia nimeshindwa nmeona bora niombe tu ushauri.wife ni mvivu sana.sana.sikatai ni mrembo kiuhalisia ukiangalia rangi,umbo n.k ipo pia.
Lakini sasa. Ni mvivu.ni mvivu balaah.asikwambie mtu, wife ni mvivu jaman.
Asub akiwah sana anaamka saa 3 hapo akiamka tu anaenda sebulen ana mswak mdomon atazunguka nao nyumba nzima.kama nusu saa hivi akiutoa then atakaa kwenye sofa kama vile amefanya kaz moja kamambe amechoka kufa.kuanzia hapo sasa ataanza kumwita tu dada wa kazi nietee hiki niletee kile.

Atakunywa chai mpaka saa tano hivi anaweza akaenda kuoga au akajifuta tu mwilini.hapo hata mtoto akijisaidia atamwita dada. Mtoto akitaka maji atamwita dada,mtoto akitaka kula atamwita dada.basi kila kitu ni dada tu.

Wife hajui kupika na hatak hata kujifunza inabidi niingie jikoni.nguo zake za ndani anafua dada wa kazi.na zangu alikuwa anampa mpaka nilipogundua na kumkataza.nlipomwambia si vizur nguo zangu afue dada wa kaz anatakiwa anifulie akasema huo ni "mfumo dume" basi tu nikamwomba msamaha sipend kumtesa.

Tukiwa hatuna dada wa kazi nyumban panakuwa kama kasehem ka kupractice jehanam kulivyo.maana utakuta sahan bakuli zipo kwenye sofa,nguo za mtoto kabati la vyombo underwear zake hadi jikoni.ukiuliza utasikia mwanao huyo ndo kafanya hivyo. Ye hapo ameshikiria remote miguu ipo juu juu kama mkungu wa ndizi.

Nguo za ndani asilimia kubwa anazo nyeusi nami sizipend nyeus.nikimnunulia nyeupe mwez tu inakuwa rangi ya khaki.

Ukija chumban utakimbia mwenyewe chumba kina hewa nzito utakuta viatu au bakuli za uji wa mtoto zipo kitandani.usiku kabla ya kulala inabidi kwanza uondoe takataka kitandan.

Ila anapenda sna kujiremba na akienda saluni masaa manne ndo kawah kurud salun ya umbal wa dk 5 tu kwa mwendo wa kunyata kabisa. Hajui kuwaangalia watoto.nikirud ntakuta watoto wana kamasi mpaka mgongoni mwingine kalia mpaka machoz yameisha na saut kukauka.unamkuta ametumbua macho tu hivi.nikimuuliza atajibu tu "nmemwambia anyamaze hataki"

Kitandani my wife wangu nako mvivu akitanua tu miguu basi. Saa moja anaona nying atalalamika mpaka ananambia sasa nitafute mchepuko wa kumsaidia maana ye hapendi shida kufanya tendo la ndoa utadhan tunashindania kombe. Ila ananionya akijua nina mchepuko atanikata.... Sasa simwelew.nami huwa napenda angalau kila siku nipate asub na jioni.

Nimejaribu kuwaambia watu wazima wamwambie wala haelew mpaka wananambia ndo basi tena.ila kwa kupata habar za mjin hajambo.anazo zote atakwambi nani anatembea na nani na kafanya nini.

Ananipa hard time sana.ingawa nampenda na sijawah hata kumcheat ingawa sometme nabanwa sana na ulumbilumbi naishia kucheza pool tu ili kujikimu maana huwa nawaza nisije mpaka nikakuta zimejaa zinatokea puani au masikion.

kipindi tupo kama marafiki haikuwa rahisi kujua haya maana mnakutana tu sehemu mnapiga story n.k then kila mtu anaenda kwake.hatukuwah kukaa pamoja tukiwa wachumba. so haikuwa rahisi kuyajua. unajua na hizi familia nyingine zinajifanya mambo safi hivyo mtoto hafundishwi kazi. haya unakuja kuyajua ukioa. ukijaribu kumwambia mama mkwe unaweza kuta mnagombana sana maana na mama mkwe anaona kama unamsema hajampa mtoto malezi mazuri. basi unaamua tu kuukunyata moyo. maana wakati mwingine unakuwa mkali anasema basi aende kwao na tayari mna watoto wawili. unawaza unapenda watoto wako.
 
Kwanza Chupi nyeupe kuwa khaki hiyo noma,pili usafi wa chumbani hiyo noma kwa haya tafuta wanawake wezake wawe wanaongea story za usafi kwa mwanamke. Kuhusu mchepuko dont do kama mumeoana labda itokeee tuu, cha muhimu ni kumfanya yeye afurahie kila dakika ya hilo tendo ...licha ya kuwa na namna nyingi lakini hakuna formula maalum zaidi yakuchuana na kujua what will keep her wet .Ila kubwa kumfanya awe na mahaba ya dhati.
 
Pole mkuu ila wewe mwenyewe ulichelewa kumbadilisha mpka sasa amesha zoea na kwa sasa kibadilisha itakupa shida.
Maana ulitakiwa kutumia nguvu nyingi mwanzo kipindi unamuoa mpaka sasa ange kuwa sawa ila kwa Sasa ukitaka kubadilisha hutaweza ataona kama wewe ndiyo unataka kuanzisha utaratibu mpya.
Pole vumilia mkuu
 
hapo mwanzo wakati mnachunguzana haikuwa hivi+
Tabia hubadilika kutokana na wakati na mazingira!!Broo haya ndio mazingira aliyouamamuua!! Maana amesema aliwahi mueleza mkewe, mkewe akamchimba biti kua ayafanyayo ni mfume Dume jamaa Akawa Mdogo!! Kwa maana hiyoo nafasi yake kama Baba mpenda Usafi Ilipwaya!!!
 
Toka nimemwoa ni mwaka wa tano huu. Kiuhalisia nimeshindwa nmeona bora niombe tu ushauri.wife ni mvivu sana.sana.sikatai ni mrembo kiuhalisia ukiangalia rangi,umbo n.k ipo pia.
Lakini sasa. Ni mvivu.ni mvivu balaah.asikwambie mtu, wife ni mvivu jaman.
Asub akiwah sana anaamka saa 3 hapo akiamka tu anaenda sebulen ana mswak mdomon atazunguka nao nyumba nzima.kama nusu saa hivi akiutoa then atakaa kwenye sofa kama vile amefanya kaz moja kamambe amechoka kufa.kuanzia hapo sasa ataanza kumwita tu dada wa kazi nietee hiki niletee kile.

Atakunywa chai mpaka saa tano hivi anaweza akaenda kuoga au akajifuta tu mwilini.hapo hata mtoto akijisaidia atamwita dada. Mtoto akitaka maji atamwita dada,mtoto akitaka kula atamwita dada.basi kila kitu ni dada tu.

Wife hajui kupika na hatak hata kujifunza inabidi niingie jikoni.nguo zake za ndani anafua dada wa kazi.na zangu alikuwa anampa mpaka nilipogundua na kumkataza.nlipomwambia si vizur nguo zangu afue dada wa kaz anatakiwa anifulie akasema huo ni "mfumo dume" basi tu nikamwomba msamaha sipend kumtesa.

Tukiwa hatuna dada wa kazi nyumban panakuwa kama kasehem ka kupractice jehanam kulivyo.maana utakuta sahan bakuli zipo kwenye sofa,nguo za mtoto kabati la vyombo underwear zake hadi jikoni.ukiuliza utasikia mwanao huyo ndo kafanya hivyo. Ye hapo ameshikiria remote miguu ipo juu juu kama mkungu wa ndizi.

Nguo za ndani asilimia kubwa anazo nyeusi nami sizipend nyeus.nikimnunulia nyeupe mwez tu inakuwa rangi ya khaki.

Ukija chumban utakimbia mwenyewe chumba kina hewa nzito utakuta viatu au bakuli za uji wa mtoto zipo kitandani.usiku kabla ya kulala inabidi kwanza uondoe takataka kitandan.

Ila anapenda sna kujiremba na akienda saluni masaa manne ndo kawah kurud salun ya umbal wa dk 5 tu kwa mwendo wa kunyata kabisa. Hajui kuwaangalia watoto.nikirud ntakuta watoto wana kamasi mpaka mgongoni mwingine kalia mpaka machoz yameisha na saut kukauka.unamkuta ametumbua macho tu hivi.nikimuuliza atajibu tu "nmemwambia anyamaze hataki"

Kitandani my wife wangu nako mvivu akitanua tu miguu basi. Saa moja anaona nying atalalamika mpaka ananambia sasa nitafute mchepuko wa kumsaidia maana ye hapendi shida kufanya tendo la ndoa utadhan tunashindania kombe. Ila ananionya akijua nina mchepuko atanikata.... Sasa simwelew.nami huwa napenda angalau kila siku nipate asub na jioni.

Nimejaribu kuwaambia watu wazima wamwambie wala haelew mpaka wananambia ndo basi tena.ila kwa kupata habar za mjin hajambo.anazo zote atakwambi nani anatembea na nani na kafanya nini.

Ananipa hard time sana.ingawa nampenda na sijawah hata kumcheat ingawa sometme nabanwa sana na ulumbilumbi naishia kucheza pool tu ili kujikimu maana huwa nawaza nisije mpaka nikakuta zimejaa zinatokea puani au masikion.
Hata kukosea kuoa/kuolewa ni ajali km ajali nyingine mwili unanisisimka
 
Hapo ni divorce tu yaani wewe unataka maisha yako yote uteseke?? Hayo mambo ya kizamani siku hizi mambo kama hayaendi ni divorce tu before it's too late. Wenzetu wazungu kwenye maisha yao wanaoa hata mara tatu ni kawaida.
 
Toka nimemwoa ni mwaka wa tano huu. Kiuhalisia nimeshindwa nmeona bora niombe tu ushauri.wife ni mvivu sana.sana.sikatai ni mrembo kiuhalisia ukiangalia rangi,umbo n.k ipo pia.
Lakini sasa. Ni mvivu.ni mvivu balaah.asikwambie mtu, wife ni mvivu jaman.
Asub akiwah sana anaamka saa 3 hapo akiamka tu anaenda sebulen ana mswak mdomon atazunguka nao nyumba nzima.kama nusu saa hivi akiutoa then atakaa kwenye sofa kama vile amefanya kaz moja kamambe amechoka kufa.kuanzia hapo sasa ataanza kumwita tu dada wa kazi nietee hiki niletee kile.

Atakunywa chai mpaka saa tano hivi anaweza akaenda kuoga au akajifuta tu mwilini.hapo hata mtoto akijisaidia atamwita dada. Mtoto akitaka maji atamwita dada,mtoto akitaka kula atamwita dada.basi kila kitu ni dada tu.

Wife hajui kupika na hatak hata kujifunza inabidi niingie jikoni.nguo zake za ndani anafua dada wa kazi.na zangu alikuwa anampa mpaka nilipogundua na kumkataza.nlipomwambia si vizur nguo zangu afue dada wa kaz anatakiwa anifulie akasema huo ni "mfumo dume" basi tu nikamwomba msamaha sipend kumtesa.

Tukiwa hatuna dada wa kazi nyumban panakuwa kama kasehem ka kupractice jehanam kulivyo.maana utakuta sahan bakuli zipo kwenye sofa,nguo za mtoto kabati la vyombo underwear zake hadi jikoni.ukiuliza utasikia mwanao huyo ndo kafanya hivyo. Ye hapo ameshikiria remote miguu ipo juu juu kama mkungu wa ndizi.

Nguo za ndani asilimia kubwa anazo nyeusi nami sizipend nyeus.nikimnunulia nyeupe mwez tu inakuwa rangi ya khaki.

Ukija chumban utakimbia mwenyewe chumba kina hewa nzito utakuta viatu au bakuli za uji wa mtoto zipo kitandani.usiku kabla ya kulala inabidi kwanza uondoe takataka kitandan.

Ila anapenda sna kujiremba na akienda saluni masaa manne ndo kawah kurud salun ya umbal wa dk 5 tu kwa mwendo wa kunyata kabisa. Hajui kuwaangalia watoto.nikirud ntakuta watoto wana kamasi mpaka mgongoni mwingine kalia mpaka machoz yameisha na saut kukauka.unamkuta ametumbua macho tu hivi.nikimuuliza atajibu tu "nmemwambia anyamaze hataki"

Kitandani my wife wangu nako mvivu akitanua tu miguu basi. Saa moja anaona nying atalalamika mpaka ananambia sasa nitafute mchepuko wa kumsaidia maana ye hapendi shida kufanya tendo la ndoa utadhan tunashindania kombe. Ila ananionya akijua nina mchepuko atanikata.... Sasa simwelew.nami huwa napenda angalau kila siku nipate asub na jioni.

Nimejaribu kuwaambia watu wazima wamwambie wala haelew mpaka wananambia ndo basi tena.ila kwa kupata habar za mjin hajambo.anazo zote atakwambi nani anatembea na nani na kafanya nini.

Ananipa hard time sana.ingawa nampenda na sijawah hata kumcheat ingawa sometme nabanwa sana na ulumbilumbi naishia kucheza pool tu ili kujikimu maana huwa nawaza nisije mpaka nikakuta zimejaa zinatokea puani au masikion.
Sasa mkuu unasema ulishawai kumwambia bekitatu kufua nguo za ndani so vizuri lakini akawaka ukanywea. Sasa huoni kama wewe ndo unamfanya awe hivo? Kumpenda haimanishi usimwambie ukweli.
 
Majuto ni mjukuu......
Inamaana hamkuwahi kuishi kama wachumba ???? Haukumsona enzi hizo??? Kama enzi hizo alikuwa anaweza kufanya leo anashindwa nawewe unakubali????
Hilo ni jipu tena lililo iva....lazima uumie kulitumbua.
Pia dawa ya moto ni moto. Acha kumlea lea kama yai. Kama wife haendi kazini mpeleke home housemaid. Mwache afanye kazi kazi mwenyewe. Kuwa mkali..

Angalizo: usithubutu kuchepuka kwani madhala ya kuchepuka ni makubwa kuliko huo uvivu wa mkeo
 
Nimecheka kwa kweli nguo zake za ndani mpk jiko? mwanamke anaamka asubuhi anatembea na mswaki nyumba nzima!!!! Mtoto wa kike, pole we kaka mtafutie somo au mlete kwetu unyamwezini tumpe mafunzo.....
 
Back
Top Bottom