...Mahusiano na uganga...

...Mahusiano na uganga...

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
3,517
Reaction score
9,452
Inasemekana mwanaume akienda kwa mganga, basi ameenda kwa maswala ya kikazi au biashara zake....kwa kifupi anaenda ili apate pesa...

Lakini inasemekana MWANAMKE akienda ugangani, anaenda ili amtengeneze mumewe awe lofa, awe anamsikiliza kwa kila kitu...yaani mwanaume asiwe na sauti., yaani mwanamke akiamua kuchepuka, jamaa awe mpole kwa sababu Ameshatestiwa mitambo...

Au kama mwanamke hajaolewa na ana mchepuko ambao ni mume wa mtu, basi huenda ugangani KUTEST MITAMBO ili huyo mume ashikike haswa, asahau familia yake awe zuzu na apeleke maini na pesa nyumba ndogo.....

Na inasemekana ukikuta wateja 10 kwa mganga, wateja 7 mpaka 8 huwa ni WANAWAKE na WWANAUME huwa 2 au 3 tu....
NDIVYO INAVYOSEMEKANA..

....Ushirikina unashika kasi sana....
[emoji83][emoji49][emoji48][emoji49][emoji48][emoji83][emoji49][emoji48][emoji49][emoji83][emoji83]
images%20(5).jpeg
 
Inasemekana mwanaume akienda kwa mganga, basi ameenda kwa maswala ya kikazi au biashara zake....kwa kifupi anaenda ili apate pesa...

Lakini inasemekana MWANAMKE akienda ugangani, anaenda ili amtengeneze mumewe awe lofa, awe anamsikiliza kwa kila kitu...yaani mwanaume asiwe na sauti., yaani mwanamke akiamua kuchepuka, jamaa awe mpole kwa sababu Ameshatestiwa mitambo...

Au kama mwanamke hajaolewa na ana mchepuko ambao ni mume wa mtu, basi huenda ugangani KUTEST MITAMBO ili huyo mume ashikike haswa, asahau familia yake awe zuzu na apeleke maini na pesa nyumba ndogo.....

Na inasemekana ukikuta wateja 10 kwa mganga, wateja 7 mpaka 8 huwa ni WANAWAKE na WWANAUME huwa 2 au 3 tu....
NDIVYO INAVYOSEMEKANA..

....Ushirikina unashika kasi sana....
[emoji83][emoji49][emoji48][emoji49][emoji48][emoji83][emoji49][emoji48][emoji49][emoji83][emoji83]View attachment 1193391
huyo mganga kwenye picha mkono umepauka kama analala jikoni.
 
Back
Top Bottom