Kama umewahi kuwa kwenye mapenzi, weka mikono juu

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
16,485
2,000
Na sitaki mwingine, mi nataka yeye tuu...
Tukidumbukia wote kwenye dimbwi la maji na kukaa umbali wa sifuri...

Macho yako yangu, pumzi yako yangu, ulacho nakimeza....
Nitake nini zaidi ya kusikilizia kumbato mwanana na kujificha kama katoto...

Ile ulinzi na joto nnalolipata kwenye kumbato, Maulana ndo anajua siukuzi bali ni uhalisia.

Ghafla nasikia sauti inapenya masikioni kwa lugha ya Mahaba ikisema....

Mi Amor es tuyo para siempre, mola mi vida.

Nikashikwa na kigugumizi Hata kujibu nikashindwa.... Mahaba haya.....


Love U Much D.

Matata K.
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
16,485
2,000
Kasie mahaba...,mi nafanya kopy na kupest nimtumie laaziz wangu mpya na Ex wangu kumkumbuka, maneno murua haya kasie asante kwa sisi tuliowavivu kubembeleza
Ahahahaahaaa enjoy, itabidi ulipie huduma uliyosegezewa mezani. Watoto wa mjini wanasema kiulaiinii....
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
16,485
2,000
Ngoja nichane mistari miwili mitatu
If ya ever been in love,
Weka mikono juu kama Uncle Juju
Piga kele kama Auntie Tunu
Ila usilete jeuri kama ile ya Tundu

Hehehee wwoow
Muda si mrefu nilikuwa najiambia Dadii akinipigia simu ntaipokea kwa bashasha za mavurugu mengi mengi kwa kuimba wimbo wa Chriss Cross

Phone ringing .....ngrr ngrrr

Kasie: yooh yooh kriss kross......
Yooh yooh, aannhaa aaanhaa....
Yooh yooh bigiribigiribigiribigiri
ma, yooh yooh

Basi tuu, Matata tuu.

Sasa naingia hapa nakuta unachana mistari hehehehhee.

K.
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
16,485
2,000
ah wapi wew ulintoroka
Ahaaahahahahaa sijatoroka banaa, nilikuwa nalipuliza huku nayarudi magoma. Hapa fegi zimeisha na wamezima nimehamia home centre, hakuna kulala....

Niko juzi jana leo kesho na mtongogoo hehehehee.
 

Below 40

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
306
500
Oooohhh.... But why....!!!???
Me and Dadii, we always believe in love.
Mahabat K.
Because it doesn't exist,love is a fairy tale feeling people pretend exists from social acceptance.
I used to believe it just like Santa Claus but then I grew up.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom