Chrix_Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 880
- 1,101
1.Kutokua na mawasiliano ya karibu mwenzi wako.
2.Kutokujali maumivu ya mwenzi wako.
3.Ubishi usio na maana.
4.Kutokukubali kosa pindi ukosapo.
5.Kukosa roho ya msamaha.
6.Kutokua muwazi kwa mwenzio.
7.Usaliti wa mapenzi.
8.Kutokutambua uthamani wa mpenzi wako katika maisha yako.
9.Kutokua na kifua cha kuficha mambo ya nyumbani/chumbani.
10.Ugomvi usio na kikomo.
11.Kutoa ahadi za uongo.
12.Kukosa ubunifu ktk mapenzi.
13.Kuwa na wivu wa kijinga.
14.Kutokua na shukrani.
15.Ubize muda wote hadi saa ya kitanda.
NImeandika haya ili umpende mkeo/mmeo kumbuka maandiko yanazuia kuachana,na Mungu mnapoachana anachukia sana
Malaki 2:14-16