Natamani kuwa na demu kama huyu

Natamani kuwa na demu kama huyu

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,711
Reaction score
8,764
Niko bar flani hapa Morogoro mitaa Jirani na chuo cha LITI

Jirani kuna demu hapa anakunywa pombe Kali(K-vant) chupa kubwa tena anajimiminia kama maji

Mkononi ana sigara SM

Mtoto yuko poa yani ana booonge la zigo huyu akilewa ni kumla 0713 tu

Mademu kama hawa ndo fresh kuwa nao kwa utawala huu,ukienda nae bar ni mwendo wa kuagiza faru Joni mnaipiga,sio wale wa kutaka savanna na castle lite ni kutiana hasara tu

Nimempenda huyu demu kauzu sana na katili
 
Mbonaa marafiki zangu tena wazuri zaidi ya huyo wanavutaa na wanakunywa konyagi tena bilaa kujifichaa ni kawaidaa saaanaa so acha kushangaaaa tembeaa uone
Njoo basi nikupakue
 
Niko bar flani hapa Morogoro mitaa Jirani na chuo cha LITI

Jirani kuna demu hapa anakunywa pombe Kali(K-vant) chupa kubwa tena anajimiminia kama maji

Mkononi ana sigara SM

Mtoto yuko poa yani ana booonge la zigo huyu akilewa ni kumla 0713 tu

Mademu kama hawa ndo fresh kuwa nao kwa utawala huu,ukienda nae bar ni mwendo wa kuagiza faru Joni mnaipiga,sio wale wa kutaka savanna na castle lite ni kutiana hasara tu

Nimempenda huyu demu kauzu sana na katili
Picha mkuu
 
Mzee baba type za wanawake kama hao wanaikula bananana,k-vant,konyagi etc wapo huku arusha na moshi wakina manka wanavuta na bangi + milungi utachoka wew tu

Shida hawatakagi offa za mtu na wakikupenda unakula tunda tu kibabw japo manyapu yao sio mazuri kiihivyo!
 
Back
Top Bottom