Msaada: Nimekuwa Sumaku ya Wadada Waliochoka

Msaada: Nimekuwa Sumaku ya Wadada Waliochoka

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,438
Wadau kama kichwa kinavojieleza msaada tutani twafwadhali nifanyeje kuepukana na dhahama hii.
 
Si unawapa hela mkuu, hebu acha kuwapa hela maana wanafuata grisi vyuma vilegee
 
Mwanamke na mwanaume walikuwa wakiendesha magari tofauti, yakagongana. Magari yote yakaharibika vibaya kwani ajali ilikuwa mbaya na ilisababishwa na uzembe wa mwanamke.

Pamoja na magari yao kuharibika vibaya cha kushangaza kati yao hakuna aliyeumia. Walipojivuta kutoka kwenye magari, mwanamke akasema, "Wewe ni mwanaume!...inafurahisha sana, na mimi ni mwanamke. Angalia magari yetu, hakuna kilichobakia lakini bahati nzuri hakuna aliyeumia. Lazima hii ni ishara kutoka kwa Mungu kwamba tuwe marafiki na tuishi pamoja kwa siku zote za maisha yetu zilizobakia".

Mwanaume akajibu, "Nakubaliana na wewe kabisa. Lazima hii ni ishara kutoka kwa Mungu".

Mwanamke akaendelea "...na angalia huu muujiza mwingine, gari yangu imeharibiwa vibaya, lakini chupa hii ya mvinyo (wine) haikuvunjika. Kwa kweli, mungu anataka tunywe mvinyo huu na kusheherekea tulivyo na bahati nzuri.

Mwanamke akampa Mwanaume ile chupa. Mwanaume akainamisha kichwa kutoa ishara ya kukubali. Mwanaume akaifungua na kunywa nusu ya mvinyo na kumrudishia mwanamke.

Mwanamke akachukua chupa, akafunga kizibo haraka na kumrudishia tena mwanaume.

Mwanaume akauliza "Haunywi hata kidogo?"
Mwanamke akajibu "Hapana, nadhani nitasubiri POLISI waje kuchukua ushahidi wao (KOSA LA DEREVA KUENDESHA GARI HUKU AMELEWA)."

UMEJIFUNZA NINI?
1. Adam amekula tunda tena[emoji134]!
2. Wanaume hawajifunzi kamwe
 
ebu walengeshe kwangu mkuu,maana me hata hao waliojichokea siwapati kabisa.
 
Kwanza nikuulize, unaposema wadada waliochoka una maana gani, ni mdada mwenye characters zipi zinakufanya useme ni mdada aliyechoka
 
Wadau kama kichwa kinavojieleza msaada tutani twafwadhali nifanyeje kuepukana na dhahama hii.

BILA SHAKA NAWE UTACHOKA MUDA SI MREFU. NA UKISHA CHOKA SUMAKU YAKO PIA ITACHOKA HIVYO HAITAKUWA NA NGUVU TENA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom